Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 53
Salaam JF!
Nashukuru nimepona UTI kufuatia uzi fulani wa DR. MZIZIMKAVU wakati fulani akatufundisha kutibu fangasi wa aina zote kwa kutwanga kitunguu saumu na kukiweka kwenye kijiko cha chai na kuweka maji ya uvuguvugu. Binafsi nilifanya kwa siku 3 baada ya kuona nawashwa sana ukeni bila mwisho. Nikajua mh hizi ni fangasi. Kwa hiyo nimekaa sawa sasa. Asante sana JF-Drs.
naomba mnieleweshe maana hiyo post sikuiona, kama unaweza kurudia jinsi ya kufanya hicho kitunguu saumu unielezee vizuri please.
uti ni kuwashwa ukeni???
Nashindwa jinsi ya kuitafuta humu lakini nakumbuka Dr. MziziMkavu alitoa maelekezo mepesi sana na rahisi kama:
1. Menya kitunguu saumu na ukitwange kisagike vema
2. Weka kwenye kijiko na utie maji ya uvuguvugu na unywe
Utaona tumbo linatibuka na unapaswa utulie tu baada ya mda linakaa sawa.
Anayejua jinsi ya kuuleta ule uzi audondoshe hapa.
Kwa Mwanamke mwenyeSamahani mzizi mkavu kuna ndugu yangu anasumbuliwa na fangasi na ni mjamzito kama miezi mi 5 je anaweza 2mia hiyo dawa ya kitunguu swaumu haitokuwa na tatizo lolote? Nisaidie mkuu
Bibie Unatumia kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwa umekwisha pona jaribu kisha uje unipe Feedback Kama ni kitunguu Saumu kizima kimoja unakula kwa kila siku Asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu lakam utakuwa unakula Punje 2 utakuwa unakula kila siku asubu7hi punje 2 na mchana punje 2 na usiku punje 2 kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwaumekwisha pona inshallah.Mkuu MziziMkavu hiyo dose ya vitunguu swaumu inatumika kwa muda gani???
Bibie Unatumia kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwa umekwisha pona jaribu kisha uje unipe Feedback Kama ni kitunguu Saumu kizima kimoja unakula kwa kila siku Asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu lakam utakuwa unakula Punje 2 utakuwa unakula kila siku asubu7hi punje 2 na mchana punje 2 na usiku punje 2 kwa muda wa siku 3 au siku 7 utakuwaumekwisha pona inshallah.
Hakuna Ubaya ila itakubidi utumie kwamuda wa siku 14 au siku 21 inategemea una maradhi gani mwilini mwako?Mkuu MziziMkavu samahani kwa maswali mengi, niliwahi kutumia dose hiyo kwa kusaga kitunguu swaumu kizima na kumeza kwa maji. Wacha nikisumbue mpk nikahisi kufa kufa.....
Je nikitumia punje sita mara moja kwa siku kuna ubaya??
Mkuu MziziMkavu hiyo dose ya vitunguu swaumu inatumika kwa muda gani???