Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 546
Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
kama huamini tibia ugonjwa husika then lishe ya nguvu...ondoa stress kuwa nina ngoma hivyo Mimi ni marehemu mtarajiwa...sema walahi hafi Mtu..utakuja utasema tawire