Oktoba 29 yeye hataisahau na sisi pia.
kuna binti oktoba 29 mtu wake wa karibu hakurejea simu iliita tu mwishowe haikupatikana sikuonana nae mda juzi nikamuuliza vipi mlipata akasema hapana familia ilifanya maziko bila mwili na vitu vyake vikagawanywa