PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lowasa alikuwa mbele ya muda sana, fikiria 2015 angeruhusu watu waingie barabarani na watu kufa kisa urais yeye aliamua bora akose huo urais na maisha yaendelee leo mbaya wake ndiye amasababisha watu kuuliwa oct29
Screenshot_20260920_203252_Chrome.jpg

Naam 2025 wadau zetu kutoka kenya wahamasishaji wakuu,

ShesRise_1 hilda hapa alikua anamaana gani?
 
Majira ya saa tisa alasiri, moshi ulionekana kweli viunga mbali mbali ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

Wakati polisi wanaanza kufyatua Risasi... watu wengi hawakuwahi fikiria serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ingewahi agiza polisi wamimine risasi hovyo kwa raia waliokua barabarani njia ya kuelekea Gongo la mboto.

Mwanzo watu wengi walidhani rubber bullet zinapigwa kuzuia watu... kumbe haikua hivyo.

Mida ya saa kumi kijana mmoja mfanyabiashara wa soko la kipawa alipopatwa na risasi tumboni na utumbo kutoka, vijana wengine wakiwa na pikipiki wakikimbia kutoka Vigunguti gari la polisi aina ya Land Rover lilipita kwenye makutano ya Jet na kumimina risasi kwa vijana waliokua service road wakielekea airport.

Hapo ndipo hofu, mshtuko na uhalisia ulitupata, nchi yetu kwa mara ya kwanza tunaanza kushuhudia mauaji ya mwanzo kwa macho yetu...

Siku mtandao unarudi, depression ilitupata kwa picha za vijana na story za watu walivyo uawa kikatili

Itaendelea
Zisi iz Tanzaniano ya leu🤔Hapa ndio tumefikishwa na CCM!
 
Hakuna hata haja ya kuficha mbona
Ni kama alisema watakavyokuja police ndio watakavyopokelewa

Alisema wamejinga🤔
Sijui alikua na maana gani hapa
Hapo yeye alishakua kenya au bado?

mimi naendelea kukazia tu kwamba cdm bado sana
 
Hapo yeye alishakua kenya au bado?

mimi naendelea kukazia tu kwamba cdm bado sana
Kwani yeye yupo kenya ?
Mi hata sijui

Lakini mkuu si unajua ukiwa hapa nchini na ukaenda ninyume na watawala ni nini kinafata?

Ali kibao yupo wapi
Soka Slowly slowly ?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwani yeye yupo kenya ?
Mi hata sijui

Lakini mkuu si unajua ukiwa hapa nchini na ukaenda ninyume na watawala ni nini kinafata?

Ali kibao yupo wapi
Soka Slowly slowly ?
ni kweli ukibaki hapa nchini hali ni ngumu,
Lakini anayekimbilia nje ya nchi kuokoa maisha yake na kuwaambia waliobaki wakiwashe dhidi ya wauwajo aliowakimbia yeye si ni mzaha
 
ni kweli ukibaki hapa nchini hali ni ngumu,
Lakini anayekimbilia nje ya nchi kuokoa maisha yake na kuwaambia waliobaki wakiwashe dhidi ya wauwajo aliowakimbia yeye si ni mzaha
Nyie mliobaki si mpo wengi
Ndio maana wakasema mtoke kwa wingi sana wenyewe wanasema siri ni number
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Huyu mmama mshenzi sana.katuharibia nchi.Kaweka historia ya kuua wtz wengi kuliko ambavyo wakoloni wa kijerumani walivyoua kwenye makoloni yao
 
Nd

Ndiyo polisi watumie risasi za moto kwa watu wasio na silaha ?
Kuna jamaa yangu ni Askari... Walijua kwamba Kuna tukio siku ya kupiga kura...

Sio kwamba Serikali haikujua..ilijua..ndio maana viongozi wengi wa mikoa wa CHADEMA walipewa ufuatiliaji masaa 24, wengine waliwekwa ndani...

Serikali na Vyombo vya ulinzi walijua kuwa itakuwa kitu Cha dakika 10...unachapa vibao watu watatu.. upigaji kura unaendelea...

Kilichotokea mpaka Leo hawaamini... Ukipata chance jaribu kudadisi hasa wale maofisa wa vyeo vya juu.. wengi hawakuamini walichokiona mpaka kuomba JWTZ....hali ilikuwa tete
 
Majira ya saa tisa alasiri, moshi ulionekana kweli viunga mbali mbali ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

Wakati polisi wanaanza kufyatua Risasi... watu wengi hawakuwahi fikiria serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ingewahi agiza polisi wamimine risasi hovyo kwa raia waliokua barabarani njia ya kuelekea Gongo la mboto.

Mwanzo watu wengi walidhani rubber bullet zinapigwa kuzuia watu... kumbe haikua hivyo.

Mida ya saa kumi kijana mmoja mfanyabiashara wa soko la kipawa alipopatwa na risasi tumboni na utumbo kutoka, vijana wengine wakiwa na pikipiki wakikimbia kutoka Vigunguti gari la polisi aina ya Land Rover lilipita kwenye makutano ya Jet na kumimina risasi kwa vijana waliokua service road wakielekea airport.

Hapo ndipo hofu, mshtuko na uhalisia ulitupata, nchi yetu kwa mara ya kwanza tunaanza kushuhudia mauaji ya mwanzo kwa macho yetu...

Siku mtandao unarudi, depression ilitupata kwa picha za vijana na story za watu walivyo uawa kikatili

Itaendelea
Ila huu ushahidi uliufikisha kwenye tume walipohitaji?
 
Back
Top Bottom