Kupinduliwa kwa Nkurunzinza

Waliwaua kwa msaada wa Tanzania na nyerere!na paka alishindwa kwasababu ya Tanzania kuhusika kuyazima mapinduzi!! Paka hawezi ku outshine master wake Tanzania kwenye medani!!


Jasusi mbobezi nampa HONGERA zake za kutosha na jk kipindi kile!!

Source mtikila mchungaji!!
 
Sisi levo zetu ni sauzi ,mosaad KGB, na CIA ,huyo kagame yupo hapo kwasababu ya sisi.
[emoji23][emoji23][emoji23]safi mkuu [emoji120][emoji120].....
kuna watu wanatulinganisha na hako kamkoa ka rwanda...
 
Kwa mambo ambayo hamyajui ..msijifanye kuyajua kwa undani..buyobe Kuna vitu kaandika uongo.
mkuu tuletee ya kwako ya ukweli ...kama huna sisi tunapambana na haya ya uongo
 
Sikumbuki vizuri huyu rais alifanikiwa kuongoza muhula wa tatu au vipi sikufuatilia sana issue yake nilikuja tu kusikia amefariki.
Aliongoza hadi akakabidhi ikulu kwa Ndahishimiye Kabla hajaapishwa nadhani ndio akafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…