rmajani
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 532
- 528
Periodt na sio periodNi ukweli ulio wazi jaribio hili la mapinduzi lilizimwa na wanajeshi wa Tanzania.
Period.
Periodt na sio periodNi ukweli ulio wazi jaribio hili la mapinduzi lilizimwa na wanajeshi wa Tanzania.
Period.
Waliwaua kwa msaada wa Tanzania na nyerere!na paka alishindwa kwasababu ya Tanzania kuhusika kuyazima mapinduzi!! Paka hawezi ku outshine master wake Tanzania kwenye medani!!Sio kuwa overrated ila nmeshaeleza hapo wameua ma-Rais wa kihutu sio chini ya Watatu ndio wamshindwe Nkuruzinza??
Kumbuka Burundi Watutsi ni chini ya 20% ila tokea Uhuru wametawala wao both serikali na Jeshi na "wamewaachia" Wahutu mwaka 1992 tena voluntarily tu ndio uchaguzi wa kwanza ukafanyika.
Sasa watu kama hao ndio washindwe kumuua Rais wa Kihutu wakiamua tena? Ndio maana napinga uhusika wa Kagame kwenye jaribio Hilo maana isingechukua hata dakika 5.
Sisi levo zetu ni sauzi ,mosaad KGB, na CIA ,huyo kagame yupo hapo kwasababu ya sisi.


safi mkuu 
.....mkuu tuletee ya kwako ya ukweli ...kama huna sisi tunapambana na haya ya uongoKwa mambo ambayo hamyajui ..msijifanye kuyajua kwa undani..buyobe Kuna vitu kaandika uongo.
Aliongoza hadi akakabidhi ikulu kwa Ndahishimiye Kabla hajaapishwa nadhani ndio akafarikiSikumbuki vizuri huyu rais alifanikiwa kuongoza muhula wa tatu au vipi sikufuatilia sana issue yake nilikuja tu kusikia amefariki.