Wewe ni mjinga huna lolote, inakuwaje unamdanganya kwamba anaweza kupimiwa kiwanja chake peke yake? Unafikri serikali ni mataahira kama Wewe waruhusu usumbufu kama huo unaotaka kumpatia huyo mdau? Nimekwambia hizo gharama unazompa ni za kupima block nzima pumb.a mkubwa!!
Asante baba sorovea kutoka chuo cha ardhi Tabora!!!Wewe ni kichwa maji kabisa. Unaona namwongopea,nimuongopee kwa sababu gani. Nenda kesho ktk manispaa yoyote hapa dar ukaulize utaona ukweli,nilishasema sibishani ushoga hapa.
Stesheni 2005 kulikuwa hakuna Bsc in Geomatics Bali Land Surveying. Wakati huo tuliwaita LS mi nilikuwa LMV.
Mimi naomba kuuliza ma surveyor. Kuna eneo langu nilitaka kulipima na nimwashajenga. Ila baada ya kuchukua vipimo linaonyesha lipo kwenye OPEN SPACE. Niliongea na surveyor akanambia kuliondoa kwenye open space inawezekana ila ni gharama kubwa. Je ilo swala linawezekana?
Nina eneo la miguu 43 kwa 23, nilicheki mchoro katikati kuna barabara imepita, upande mmoja open space na upande mwingine makazi ya watu, hapo vipi?
Kupata kibali cha halmashauri na Kuweka mawe, kwahiyo ni gharama Kidogo za halmshauri na za surveyor kwa ajili ya kugawa na kuchora eneo lako.
Ameniambia uo mchoro bado haujapitishwa na mkurugenzi wa halmashauri. Na iyo open space anaweza akaamisha kwa mwingine. Nyumba ndio naifanyia finishing
Mkuu stesheni ili nijue eneo limekuwa surveyed inabidi niende wapi au nifuate hatua gani ili kugundua hili?Kama eneo lipo ktk surveyed area unamaanisha tayari nalo ni surveyed,labda kama unamaanisha tayari liko ndani ya mipango miji,ambapo unatakiwa ufuate taratibu za kuanza kupima. Kama tayari surveyed sasa nenda manispaa na ramani watakupa maelezo ya umilikishaji.
Haiwezekani kuwa alisomea nje ya nchi?Hahahaa.. Labda alisomea Ardhi ya Tabora..
hahahahah bongo bana,ukiwa na hela rahisi sana,huhitaji kujua utaratibu.Nakushauri andaa milioni 3.5 utaletewa hhati nyumbani Ikiwa kamili.
Ina maana JPM hajaweza kukabiliana na upuuzi wa rushwa katika upimaji viwanja?hahahahah bongo bana,ukiwa na hela rahisi sana,huhitaji kujua utaratibu.
inawezekana mkuu, kuna kitu kinaitwa change of land use ambacho kinatambulika kisheria hii inatokana na ukweli ya kwamba maeneo ambayo serikali iliyatenga kwa shughuli fulani ilichelewa kufanya utekelezaji hivyo yakawa kama mapori, watu wakajimilikisha na wengine wakauziwa na serikali za vijiji ukiangalia ramani za mipango miji kuna kitu kina itwa proposed plan na approved plan....kama jengo lako limeingia kwenye eneo la wazi naamini ni kwa kiwango kidogo ambapo hapo itabidi afisa mipango miji achore upya jengo lako liendane na mpango wa sehemu husika kisha apeleke baraza la ardhi la kata kisha baraza la madiwani "washawishike" ku-approve huo mchoro ....mwenyewe nina tatizo kama lako ambalo mpaka sasa linaendelea vyema.....Mimi naomba kuuliza ma surveyor. Kuna eneo langu nilitaka kulipima na nimwashajenga. Ila baada ya kuchukua vipimo linaonyesha lipo kwenye OPEN SPACE. Niliongea na surveyor akanambia kuliondoa kwenye open space inawezekana ila ni gharama kubwa. Je ilo swala linawezekana?
mchukue afisa mipango miji aende na kifaa kinachoita gps akachue coordinates kisha akaangalie kwenye ramani za jiji kama vipimo vya eneo lako zinasomeka, kama zinasomeka atakwambia nyumba yako umejenga kwenye eneo sahihi ama vinginevyo yaai pengone umejenga shuleni, sokoni makaburini nk.. gharama hya zoezi hili haizidi 300000Mkuu stesheni ili nijue eneo limekuwa surveyed inabidi niende wapi au nifuate hatua gani ili kugundua hili?
Je, kama majirani zangu hawataki kupima maana ni mashamba hapa inakuaje kama nikihitaji kupimiwa mimi mwenyewe?
Yaani mpimaji kuja na GPS na kuchukua coordinates kisha kwenda kuangalia kwenye ramani za jiji ndiyo ighalimu laki tatu?mchukue afisa mipango miji aende na kifaa kinachoita gps akachue coordinates kisha akaangalie kwenye ramani za jiji kama vipimo vya eneo lako zinasomeka, kama zinasomeka atakwambia nyumba yako umejenga kwenye eneo sahihi ama vinginevyo yaai pengone umejenga shuleni, sokoni makaburini nk.. gharama hya zoezi hili haizidi 300000