shegacool2015
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 394
- 133
Nakushauri andaa milioni 3.5 utaletewa hhati nyumbani Ikiwa kamili.
Habari za jioni wana Jf.
Nina Kiwanja kidogo around 1000sqm nataka nipime nipate offer, jirani zangu wao swala lakupima hawataki kuliskia sasa nilitaka kujuaa kwa Kiwanja kidogo kama hicho process zinakua vp na gharama inakua aje?
usichukulie mambo kwa ujumla. je kama kasoma ughaibuni? au unamaanisha duniani kote hiyo kozi ilikuwa haipo. think beyond your nose.Stesheni 2005 kulikuwa hakuna Bsc in Geomatics Bali Land Surveying. Wakati huo tuliwaita LS mi nilikuwa LMV.
Stesheni 2005 kulikuwa hakuna Bsc in Geomatics Bali Land Surveying. Wakati huo tuliwaita LS mi nilikuwa LMV.
Lol!!! Umevamia Treji Kwa Mbele, Inawezekana Wewe Ni Kanjanja Wa Elimu Ona Wenye Taaluma Wanavyokuumbua, Tuambie Hiyo BSC Ya Geomatic Umeipatia Wapi??
Msome vizuri uyu mtaalam, hajasema BSC kasema Bsc
Alafu hajasema BSC ya Geometic kasema Bsc in Geometics, aya mambo yanatofauti kubwa, ndio tofauti ya msomi na kanjanja!!
Labda nitoe mfano ulio hai kabisa na current hapa nilipo;sisi tumejikusanya kama watu 5 na tuna jumla ya ekari 14 na Mara baada ya vipimo vya shamba zima Kwa eneo LA ekari hizo 14 tumepata viwanja 22 na mpimaji amesema kila kiwanja kimoja tumpatie laki mbili unusu je ni sahihi kweli au anatupiga huyu jamaa?
Gharama ni 1.5m

Huyu anayekuambia 800000 kupima kiwanja sidhani kama ni surveyor. Kupima kiwanja hadi unapata plani yako ni kuanzia 2000000,chini ya hapo mtazimiana simu. Kama ni nje ya dsm bei hiyo inawezekana. Ni mimi suryeyor nimemaliza 2005 na Bsc in Geomatics