Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 218
- 452
unazunguka mzee niambie udhaifu wa mwanamke nikuelewe.ni
kweli sikuhizi hatusemi tunanyamaza lakin tunajua mwanamke ni kama mtoto,ukiwa nae ishi nae kwa busara na akili vinginevyo hamtafika salama
mwambie huyo,harafu nafkiri hajaishi na mwanamke aone yupo vipi,yeye anaangalia vitu kwa nje mwanamke ukitaka kumjua ishi nae,ila kwa kusoma vitabu vya kizungu na kuangalia tamthilia huwezi muelewa mwanamke hata.Wewe Bila shaka hujalelewa na baba
wewe ishi na mwanamke ndio utajua ukisimuliwa hautaelewa utabisha sanaunazunguka mzee niambie udhaifu wa mwanamke nikuelewe.
Utofauti wa mwqnamke na mwanamme hizo ni Gender rules sio udhiafu.
Kweli nimeamini.....huge butt small mind.....Hahahaa kuna usemi kwamba mwanamke akiwa na makalio makubwa akili sufuri
Itabidi nikuupuze maana una assume assume mambo tu.wewe ishi na mwanamke ndio utajua ukisimuliwa hautaelewa utabisha sana
mh kwani jose upoMmmh aisee..hold on
kama unavyonionamh kwani jose upo
Kuna Member Mmoja alishawahi kuleta post kam hii jukwaani la namna ya kupima uwezo wa kufikiri wa Mwanamke sema kwa bahati mbaya hio post nimeshindwa kuiona.
usijempa credit mwanamke kwa haraka kwan wao asili yao ni wasaidizi tuuu,okay tuishie hapoItabidi nikuupuze maana una assume assume mambo tu.
Huo udhaifu wa mwanamke sijaona unaueleza nipate kukuelewa.
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 15 unaniambia niishi na mwanamke tena!
inaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingiMwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni tofauti.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
-huyu bwana ni mbishi yamkin ataeewa kiasiinaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingi
Wewe unayeamini mimi kuamini vitabu vya kizungu nimekengeuka ila kuamini kwako biblia kuwa mwanamke ni dhaifu ni sawa hatuwezi kuelewana.usijempa credit mwanamke kwa haraka kwan wao asili yao ni wasaidizi tuuu,okay tuishie hapo
Very Logical ...Popote ulipo Mkuu Agiza Kinywaji Nakuja Kulipa!inaonekana kuna mitazamo tofauti kuhusiana na hilo suala la mwanamke na mwanaume.....Na kulifanyia maamuzi inategemea mtu mmoja mmoja na mtazamo wake...mf kama wewe unaona Mwanaume ni sawa na Mwanamke kwa kutazama Mali ,pesa ,nk lakini kwa Misingi ya Uumbaji Huenda ikawa Tofauti sana unadhani kwa nini Aliyetuumba alitutahadharisha kwamba wao ni Viumbe dhaifu na akaongezea tunapaswa kuwapenda lakini kubwa zaid akatwambia TUISHI NAO KWA AKILI,,,,,, Lakini kubwa kuliko yote Mwanaume akapewa UKICHWA wa FAMILIA ...kama unamwona mwanamke ni sawa na mwanamme Basi unaweza kuacha mwanamke awe kichwa cha familia ikiwa unaona amekuzidi pesa ,akili,na vingine vingi