Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,701
Ndo raisi wako mtarajiwa huyu chaguo la Mungu
Mkuu ni mungu gani huyu mnaemuongelea?
Ndo raisi wako mtarajiwa huyu chaguo la Mungu
Mlengwa ni wassira
Unauliza majibu mkuuKwani lowasa ni mgonjwa?
Wewe mchalo mtamu,inawezekana ikawa 'umepofushwa' na takrima za kumwaga za mzee wa mamvi, kwa hiyo ndiyo sababu inayokufanya usijue kuwa huyo jamaa afya yake ni mgogoro.Kwani lowasa ni mgonjwa?
Oviaz ni EL! Lakini miezi ya karibuni alionekana yuko 'fit' akifanya mazoezi ya kukimbia. Ndiyo! Niliiona picha yake katika gazeti mojawako hapa nchini! Nisichojua ni afya ya Ma-Kaamba, Maembe, Fred, ama Upinda. Wanaweza kuwa wanalengwa hawa, maaana mpaka SASA atakayegombea kupitia CCM HAJAJITOKEZA!

si mbaya haileng mtu ni utaratibu tu!mashuleni kazin vyuon hufanywa medcal exams