Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,140
- 1,983
Salaam Wana JF, Kumekuwa Na Mwito Katika Kipindi Hiki Kuhusu Kupimwa Afya Zao Wagombea Urais.Sina Hakika Hasa Ni Nani Alianzisha Mada.Jambo Linalotia Shaka Ni Nia Ya Mwanzishaji.Mgombea Urais Wa CCM Mwenye Kuogopewa Sana,EL Anasemwa Kuwa Afya Yake Si Njema Na Ameshauriwa Aachane Na Kampeni.Sijui Kuhusu Wagombea Wengine Ila Kwa Upinzani Unaweza Kuwa Na Afya Mbovu Wakati Wowote Kwa Kwa Kipigo Cha Poli CCM(Prof.Lipumba?)Au Unaweza Kulishwa Sumu Ukawekwa Nje Ya Ulingo.Inawezekana Kuna Nia Njema Lakini Kwa Mazingira Haya...... Nani Analengwa?