washawashachiniyamuti
Senior Member
- May 9, 2018
- 139
- 109
Ni PM nikuunganishe na mademu wakali ambao hawana shombo hata kidogo.........hutajuta kabisa..........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kabisa. Macho, hisia na body language vinadanganya sana. Labda mtoa mada alivyo muona mlegwa akajua 80% kuna dalili ya kufanikiwa ndio maana anaumia.sanaaa..tatizo mnakoseaga unatakiwa ujenge kwanza mazoea kidogo na mtu sio mtongozo papo kwa hapo wataka ukubaliwe
ngoja apambane kidogo ili akomae kimapenzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kabisa. Macho, hisia na body language vinadanganya sana. Labda mtoa mada alivyo muona mlegwa akajua 80% kuna dalili ya kufanikiwa ndio maana anaumia.
Hi ShunieBora kakwambia ukweli mapenzi kweli ni hisia hakupendi atakuwaje na hisia na wewe
Mbona kawaida hyo. Chapa lapaSalam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Hi Shunie
Miss you[emoji137][emoji137]
Hivi ukimpenda mtu wewe mwanamke na yeye akawa hajui hivi huwa hufanyajeBora kakwambia ukweli mapenzi kweli ni hisia hakupendi atakuwaje na hisia na wewe
Miss you
Hivi ukimpenda mtu wewe mwanamke na yeye akawa hajui hivi huwa hufanyaje
Da sure[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli kabisa. Macho, hisia na body language vinadanganya sana. Labda mtoa mada alivyo muona mlegwa akajua 80% kuna dalili ya kufanikiwa ndio maana anaumia.
Au CIONi PM nikuunganishe na mademu wakali ambao hawana shombo hata kidogo.........hutajuta kabisa..........
Sema daaa kinaumaUsijali sana Mkuu kuna maisha baada ya kibuti.
pole, unavihitaji hivyo ili uwe 'immune' ndio utakuwa kidume! Pole sana huko tulikupitaga zamani zile!Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Okpole, unavihitaji hivyo ili uwe 'immune' ndio utakuwa kidume! Pole sana huko tulikupitaga zamani zile!