Kupigwa vibuti ni kunauma...

Kupigwa vibuti ni kunauma...

Ukiona unachezea chaga ujue ukubwa ndio huo sasa...enzi za utoto kila mtu anakupenda lkn sasa hivi ndio ukubwa wenyewe..
Unajifunza kuishi na disappointment za hivyo
 
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Twende Mbeya damu za binadamu zinahitajika kwa ajili ya kukuza biashara za watu. Nikupeleke tu wakakufanye ndondocha uwaingizie wenzako pesa
 
Yaani mtu kapigwa kibuti,unamwambia akaze buti😀😀😀
Inabidi afanye hivyo. Labda huyo manzi alikua anampima aone msimamo wake. Kuna baadhi ya mamanzi ukiwaimbisha siku hiyo hiyo unapata jibu zuri na kuna wengine wasubufu kweli.
 
Daah... vijana wa kileo... kutongoza hamjui kabisa.. nan alikufundisha kutongoza kwa kutumia keyboard ya sim yako? Ilibd ukae nae uso kwa uso... macho yana hamasa kubwa saana... lakin kwa kumalizia tuu...hamna mwanamke ambaye mnafanana status au kakuzid, utamwambia nakupenda halaf akujibu nakupenda pia...inabd utenge mda wako kumfundisha akupende.... wale wa nakupenda piaa yawezekana malaya au umemzid saaana status.... pita humo kijana
 
sanaaa..tatizo mnakoseaga unatakiwa ujenge kwanza mazoea kidogo na mtu sio mtongozo papo kwa hapo wataka ukubaliwe
Tatizo mazoea yanafanya uwe friendzoned, unakuta mtu anakwambia mi nakuchukulia as a friend tu so unakuta umezua balaa jingine, wahuni huwa wanapasuka mapema tu. Kama manzi anakukubali inakuwa yechu tu wala hatawaza kusema umemnoki!
 
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Mpeleke zawadi mara kwa mara uone kama atagoma
 
Yaani siku hizi maisha yamekuwa simple sana anakutosa huyu unatafuta mkali zaidi yake na unakuta huyo mkali anakukubali fasta kuliko huyo mwingine aliekukataa....
 
Daah... vijana wa kileo... kutongoza hamjui kabisa.. nan alikufundisha kutongoza kwa kutumia keyboard ya sim yako? Ilibd ukae nae uso kwa uso... macho yana hamasa kubwa saana... lakin kwa kumalizia tuu...hamna mwanamke ambaye mnafanana status au kakuzid, utamwambia nakupenda halaf akujibu nakupenda pia...inabd utenge mda wako kumfundisha akupende.... wale wa nakupenda piaa yawezekana malaya au umemzid saaana status.... pita humo kijana
Salute
 
Me nikipigwa kibuti waga nAfanya sherehe sababu nakuwa nimepunguziwa bajeti yangu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom