Kupigwa vibuti ni kunauma...

Kupigwa vibuti ni kunauma...

Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Umependa demu fala. Dem anayejielewa hawezi jibu hivo
 
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda alafu daa malipo ndo vibuti naomba ushauli hii hali inaishaje
Polee sana ndio maisha haya
 
Inaonekana hujasoma hisabati olevel hasa topic ya trig na circle, inabid ukomae hadi akuelewe
 
Back
Top Bottom