Kupigwa mubashara

Kupigwa mubashara

Yani Aking'ang'ania Kitu Kama Mtoto Ntamtreat Kama Mtoto From There On
 
Mimi huwa nikitoka na mpenzi wangu , nikipenda kitu halafu nikaona bei haiendani na hicho kitu huwa sikitaki tena.
Kuna siku akajitia kununua T-shirt elfu 20 na wakati zinauzwa elfu 10. Kisa wauzaji walikuwa wadada.
Niligomba kama vile nimemfumania tangu hiyo siku amekoma.
Mm nilijua ww ni ke kumbe me
 
Majibu ya wanaume utayajua tu na wasio na wanawake wanaojifanya wanaume
 
Wewe bahili sana, nyie ndo mnaolala na hela kwenye soksi, kwa nini mkeo asijue una hela kiasi gani mnapotoka,au unatueleza habari za michepuko yako
 
Pole sana...

Nikiwa na mahondaw wangu... Hakubali ninunue au nimnunulie kitu kwa bei ya gharama wakati tunaweza pata kwa bei nzuri...

Atabishana nao mpaka watashusha...


Cc: mahondaw
 
Pole sana...

Nikiwa na mahondaw wangu... Hakubali ninunue au nimnunulie kitu kwa bei ya gharama wakati tunaweza pata kwa bei nzuri...

Atabishana nao mpaka watashusha...


Cc: mahondaw


Heeeeeeeeeh mie teina
Hawa wafanyabiashara ukizubaa ulaizwaa bei love

Nakupenda sana Smart911 wangu
[HASHTAG]#Bakinamimi[/HASHTAG] baby
 
Heeeeeeeeeh mie teina
Hawa wafanyabiashara ukizubaa ulaizwaa bei love

Nakupenda sana Smart911 wangu
[HASHTAG]#Bakinamimi[/HASHTAG] baby
Love you more super dear...
" To every successful man there is a strong woman being "...

You are my strong woman...
 
Sijawah kutaman kununuliwa kitu na engineer wa kipare maan alishazoea kununuliwa tu sijui kam hata alikuwa anakumbuk kununua nguo, labda baada ya kuachan ,hawa wengine hata ulieje hawakupi wanalia njaa uwasaidie tena ,ukiwap akili ya kutafuta hela hawahangaiki kusumbua ubongo wao jaman
 
Back
Top Bottom