mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Harusi ya mshkaji tumepitia studio kupata picha mbili,tatu, kuvuta muda wa ukumbini na kuweka kumbukumbu sawa, ni kwa wahindi.
looooh!!! hawa jamaa watakuweka kichwa sawa , macho, watanyanyua mguu na kuuweka sawa, mkono, vidole
Duuh nimechoka ila picha imetoka bomba sana, wenzetu wapo serious na kazi yao bwana.