Zeddicus
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 627
- 537
Yaani sikufahamu kama na sisi tunaweza hayo.
Duh! umenishangaza sana.
Wewe ni-pm nikuelekeze wanavyofanya.
Yaani sikufahamu kama na sisi tunaweza hayo.
Duh! umenishangaza sana.
Duh..kaaz kwel kwel
Wewe ni-pm nikuelekeze wanavyofanya.
«»Nidhamu ya kazi ni mafanikio bora kaziniii,viongozi na wafanyakazi lazima wote tuwe na nidhamuuu,migogorooo na migonganooo makazinii ni ukosefu wa nidhamu.
Kha! maswali mengine bwana!Ndio maana nikawa njiuliza kwa nini mnaweka kucha za mamba
Sasa jibu nimepata hakuna wa kunidanganya
Hebu mwali niondoe mashaka kama na weye ni mwanachama
Ili nijipange vizuri kwa mwandani nikimpata
Hivi ina ladha sawia kama ile ya kawaida?
Kha! maswali mengine bwana!
Ndio maana nikawa njiuliza kwa nini mnaweka kucha za mamba
Sasa jibu nimepata hakuna wa kunidanganya
Hebu mwali niondoe mashaka kama na weye ni mwanachama
Ili nijipange vizuri kwa mwandani nikimpata
Hivi ina ladha sawia kama ile ya kawaida?
Wewe nieleze hapa ili na wengine wafahamu jinsi ya kufanya, sasa nikiku PM itakuwa siri
Yah ila imenishangaza na kuniacha mdomo wazi
sasa na mzizi kmavu angepm wengine tungesoma aache ubinafsi bana.Wewe nieleze hapa ili na wengine wafahamu jinsi ya kufanya, sasa nikiku PM itakuwa siri
Sasa Apolo sisi tunaishikaje maana ni ndogo sana! ndiyo maana nashangaa sana.