Kupiga Mke!!!!

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
92
Wanajamvi.
Sijui mwalionaje hili la Allah kuruhusu wanawake kupigwa na waume zao??

Naomba uhalali wa hili swala.
 
Last edited by a moderator:
imeruhusiwa kupiga lakini sio kutoana damu. ngeu. ukipiga mpaka ukajeruhi hiyo imekatazwa. sawa mpendwa ?
 
hapo utakua umetumia nguvu kubwa

By your definition , bila kutoka damu, then unaruhusiwa kupiga mke. Ndio maana nasemaga kuwa dini bwana sometimes you need to use your intuition to decide some issues on this physical world. Eti imesema kuwa mtu akipinga dini muue utakwenda mbinguni!!!!!!!Mh! hapa intuition inaweza ikawa ya msaada kuliko dini!
 
Never. tumieni vitabu vya dini kama guideline na si kufuata kila kitu kilichoandikwa miaka 2000+ iliyopita. Sasa hiyo video inasema kupiga ni rukhsa akikataa kulala na mmewe. Kuna sababu nyingi zinazomfanya mwanamke asiweze kulala na mme wake.

ongeeni, suluhisheni. Sisi si ng'ombe ahh.
 
mtu akipinga dini muue. kwa muamadi hakuna kitu kama hicho ni uzushi tu

Usikatae , ndio maana wanajilipua eti akifia dini atakwenda ahera. Kuoa wake wengi eti alikuwa anawasaidia kwa vile walikuwa wajane, na wengine walikuwa hawana wanaume maana wanaume walikuwa hawatoshi. Usibishe. Je MUTTAH unaifahamu, au nayo utakataa? (Ukiwa sehemu ambayo hakuna mwanamke wa kiislamu ukawa na hamu ya mwanamke chukua yeyote ufanye naye mapenzi inaitwa kupiga MUTTAH!)
 
kuna Mungu aliye hai ambaye mi namuita Jehova yile, pia kuna Mungu anaeitwa ALLAH, JAH, na mwingne ni Ng'ombe. So kwa Mungu wangu ninaemwamini ananambia kaeni na wanawake kwa akiri na muwapende pia. Anasisitiza kuwa msinyimane na mpange kuwa na kias (Hapa maazunguzo na maelewano yana aaply kuliko nguvu na udicteta). So sishangai kusikia hivo maana kuna Mungu (Starts with capital letter) na mungu (starts with small letter).
 
Back
Top Bottom