Kupiga Mabusu Hadharani: Lowassa Awakera Viongozi wa Dini!

Kupiga Mabusu Hadharani: Lowassa Awakera Viongozi wa Dini!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
WanaJF,

Hivi punde nimetoka kwenye nyumba ya ibada kufanya sala, lakini kama ilivyo ada, tumefanya mawaidha hapa na kubwa zaidi lilikuwa ni suala la maadili kwa viongozi.

Katika mawaidha hayo, shekhe wetu alionyesha masikitiko makubwa sana kwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UKAWA kufuatia hatua za viongozi hao kuwapiga wake zao mabusu wakiwa katika hadhara.

Katika kukazia hoja zake, shekhe alimtaja Lowassa kuwa kinara wa michezo ya kubusu wanawake hadharani na pia alitolea mfano wa siku ya jana kuwa Lowassa alimbusu mkewe hadharani huku taifa zima likishuhudia!

Aidha, shekhe wetu alieleza kuwa, matendo ya kupigana mabusu hadharani hufanywa na watu walevi na wasio na maadili mema. Shekhe aliongeza kuwa, mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya mambo hayo mbele ya hadhara kwani atatambua kuwa kuna watoto hivyo sio vyema kwao kuona mabusu.

FB_IMG_1440754418045.jpg
Tukio hili kama linavyoonekana hapo juu sio la kimaadili na hakika halipaswi kufanywa mbele ya jamii ya Kitanzania.

Pia shekhe hakusita kugusia juu ya watu wanao jihusisha na ukahaba ambao nao wanajiweka karibu na viongozi wa umma...hapa binafsi nilipata picha kuwa atakuwa anawazungumzia aunt Ezekiel na Wolper.

FB_IMG_1440753810750.jpg
 
Duh..kweli mmezidiwa,hoja hakuna ilimradi utafute kumtaja Lowassa...yule ni mkewe.

JE KINANA ALIVYOMSHIKA NYONYO MKUU WA MKOA DODOMA NI MAADILI?
 
Sheikh Huyo Hajitambui Yule Ni Mke Wa Lowasa Na Ile Busu Wamepigana Wao Uvunjifu Wa Maadili Uko Wapi
 
Huyu anataka kutuingiza kwenye mjadala mbaya wa kidini. Mijadala ya namna hii haina nafasi katika kipindi hiki.

Viongozi wa dini tunawaheshimu, tunawaomba msiingize siasa mkawa kwenye madhabahu za madhehebu. Ibada zibakie kuwa takatifu bila siasa.
 
nimemuona mama yako kafurahi kweli na ameapa kmpa kura lowassa
 
Huyu anataka kutuingiza kwenye mjadala mbaya wa kidini. Mijadala ya namna hii haina nafasi katika kipindi hiki.

Viongozi wa dini tunawaheshimu, tunawaomba msiingize siasa mkawa kwenye madhabahu za madhehebu. Ibada zibakie kuwa takatifu bila siasa.

Suala hapa ni maadili, viongozi wa dini hawawezi kuona mpuuzi mmoja huku mitaani anavunja maadili halafu aachwe eti vitu viende unnoticed! Hilo haliwezekani!

Mwingine ambae ni dalali wa Lowassa huyu hapa, naona tabia zao zinafanana! What a coincidence!

Screenshot_2015-08-28-15-35-22-1.png
 
WanaJF,

Hivi punde nimetoka kwenye nyumba ya ibada kufanya sala, lakini kama ilivyo ada, tumefanya mawaidha hapa na kubwa zaidi lilikuwa ni suala la maadili kwa viongozi.

Katika mawaidha hayo, shekhe wetu alionyesha masikitiko makubwa sana kwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UKAWA kufuatia hatua za viongozi hao kuwapiga wake zao mabusu wakiwa katika hadhara.

Katika kukazia hoja zake, shekhe alimtaja Lowassa kuwa kinara wa michezo ya kubusu wanawake hadharani na pia alitolea mfano wa siku ya jana kuwa Lowassa alimbusu mkewe hadharani huku taifa zima likishuhudia!

Aidha, shekhe wetu alieleza kuwa, matendo ya kupigana mabusu hadharani hufanywa na watu walevi na wasio na maadili mema. Shekhe aliongeza kuwa, mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya mambo hayo mbele ya hadhara kwani atatambua kuwa kuna watoto hivyo sio vyema kwao kuona mabusu.

View attachment 281327

NDIO Maana WAKINA MAMA WA CUF Hawahudhurii MIKUTANO ya UKAWA.... KUFURU TUPO... hakuna sitiri.... nafikiri uliona Jamii iliyokuwepo pale ni sawa... MAHABA NJE NJE!!!
 
si kila kiongoz wa dini anaweza kuongea mambo ya dini na si kila jambo la siasa inaweza kuingizwa ktk au kutolewa mifano ktk dini na dini inategemea siasa lakini siasa aitegemei dini mfano leo wanasiasa wanaweza kufunga msikiti au kanisa bt viongoz wa dini hawawez kufunga bunge au ikulu so inategemea myb shekh wetu alikuwa ana mahaba upande mwingne ile ni dry kiss ambayo hata waarabu wakisalimiana wanafanya tena hao ndo wanaijua dini kuliko cc ambayo 2meletewa kwenye jahazi kutoka oman je ingekuwa romance?
 
Hatugawanyiki hata mkileta udini, siye watanzania suala la dini tofauti halitusumbui so tupa kuleeee propaganda za kijinga kama hizi mmxiuuuuuuu
 
Back
Top Bottom