Kupiga Mabusu Hadharani: Lowassa Awakera Viongozi wa Dini!

Wazee wachonganishi na dini za Watanzani,leteni hoja watani wetu CCM na tuwachague UKAWA mtupishe mwaka tuwaonyeshee kasi ya maendeleo.
 
Gopark man.

Haya ni mambo ya kizazi kipya. Kamwulize Al Gore.

Anakufundisha kumpenda mwenza wako. Hata Rwanda na Burundi wanakuzidi,

Kwani kwenye shavu kuna nini. Acha ufaidhi**.

Indifference!!
 
Huko ziikotoka dini tulizoletewa mapadri/ wachungaji huwa wanawaambia mabwana harusi " You may now kiss the bride". Mchungaji wako ndo anajua dini zaidi ya waliomfundisha?
 
Bora apigaye busy mkewe kuliko nyie mnaozaa na kuoa wanawake vichochoroni na kuwapa ukuu was wilaya akili zenu ndogo kwenye mahusihano masisiemu hovyo
 
Wewe umerudi tena kinyume nyume..haaaa..haaa karibu mtu usie kuwa na msimamo..
 
WanaJF,

Hivi punde nimetoka kwenye nyumba ya ibada kufanya sala, lakini kama ilivyo ada, tumefanya mawaidha hapa na kubwa zaidi lilikuwa ni suala la maadili kwa viongozi.

Katika mawaidha hayo, shekhe wetu alionyesha masikitiko makubwa sana kwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UKAWA kufuatia hatua za viongozi hao kuwapiga wake zao mabusu wakiwa katika hadhara.

Katika kukazia hoja zake, shekhe alimtaja Lowassa kuwa kinara wa michezo ya kubusu wanawake hadharani na pia alitolea mfano wa siku ya jana kuwa Lowassa alimbusu mkewe hadharani huku taifa zima likishuhudia!

Aidha, shekhe wetu alieleza kuwa, matendo ya kupigana mabusu hadharani hufanywa na watu walevi na wasio na maadili mema. Shekhe aliongeza kuwa, mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya mambo hayo mbele ya hadhara kwani atatambua kuwa kuna watoto hivyo sio vyema kwao kuona mabusu.

View attachment 281327
Dada Hamyda ulitaka wewe upigwe hilo busu wewe kwanini na wewe usimwambie mumeo akupige ?
 
Mi Mwanaccm Naomba Tuache Ushabiki Wa Vyama Pemben,kama Huyo Sheikh Kasema Kwel,mi Naona Amekosea Kwan Akae Atambue Sio Kila Mtu Ni Muislam.Na Kumbusu Mke Wako Hadharani Sio Dhamb Mbna Hamkemei Obama Ambaye Kila Sku Tunamwona Jukwaan Akimwita Mkewe Lazima Ambusu...Lakini Pia Wanajamvi Tusihusishe Hili Na Siasa Hayo Ni Mambo Ya Dini
 
HAMY-D
Mkumbushe sheikh kuwa Lowassa ni mkristo hivyo hafuati maadili mema ya waislam. Ila tusaidie kumuuliza sheikh maoni yake kuhusu huyu AL HAJJI KAPUYA maana bora hata Lowassa anambusu mkewe wa ndoa halali, je huyu alhaji kumchopeka kono huyu msichana ambaye nahisi sio mkewe inaswihi? na hata akiwa mkewe kumtia kono namna hii hadharani ni uislamu? Je kwa alhaji kumiliki bendi ya densi tena ya wakongo ambayo mziki wake ni kumwaga mauno ni sawa?
Kapuya4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nilifikiri kachoma ndizi hadharani ,kumbe ile kitu ya kawaida!tujadili kuing'oa ccm.
 
WanaJF,

Hivi punde nimetoka kwenye nyumba ya ibada kufanya sala, lakini kama ilivyo ada, tumefanya mawaidha hapa na kubwa zaidi lilikuwa ni suala la maadili kwa viongozi.

Katika mawaidha hayo, shekhe wetu alionyesha masikitiko makubwa sana kwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UKAWA kufuatia hatua za viongozi hao kuwapiga wake zao mabusu wakiwa katika hadhara.

Katika kukazia hoja zake, shekhe alimtaja Lowassa kuwa kinara wa michezo ya kubusu wanawake hadharani na pia alitolea mfano wa siku ya jana kuwa Lowassa alimbusu mkewe hadharani huku taifa zima likishuhudia!

Aidha, shekhe wetu alieleza kuwa, matendo ya kupigana mabusu hadharani hufanywa na watu walevi na wasio na maadili mema. Shekhe aliongeza kuwa, mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya mambo hayo mbele ya hadhara kwani atatambua kuwa kuna watoto hivyo sio vyema kwao kuona mabusu.

View attachment 281327
Tukio hili kama linavyoonekana hapo juu sio la kimaadili na hakika halipaswi kufanywa mbele ya jamii ya Kitanzania.

Pia shekhe hakusita kugusia juu ya watu wanao jihusisha na ukahaba ambao nao wanajiweka karibu na viongozi wa umma...hapa binafsi nilipata picha kuwa atakuwa anawazungumzia aunt Ezekiel na Wolper.

View attachment 281354

HII nayo vipi?
 
Attachments

  • 1440772422250.jpg
    1440772422250.jpg
    28.8 KB · Views: 195
  • 1440772462834.jpg
    1440772462834.jpg
    18.5 KB · Views: 182
WanaJF,

Hivi punde nimetoka kwenye nyumba ya ibada kufanya sala, lakini kama ilivyo ada, tumefanya mawaidha hapa na kubwa zaidi lilikuwa ni suala la maadili kwa viongozi.

Katika mawaidha hayo, shekhe wetu alionyesha masikitiko makubwa sana kwa kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa UKAWA kufuatia hatua za viongozi hao kuwapiga wake zao mabusu wakiwa katika hadhara.

Katika kukazia hoja zake, shekhe alimtaja Lowassa kuwa kinara wa michezo ya kubusu wanawake hadharani na pia alitolea mfano wa siku ya jana kuwa Lowassa alimbusu mkewe hadharani huku taifa zima likishuhudia!

Aidha, shekhe wetu alieleza kuwa, matendo ya kupigana mabusu hadharani hufanywa na watu walevi na wasio na maadili mema. Shekhe aliongeza kuwa, mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya mambo hayo mbele ya hadhara kwani atatambua kuwa kuna watoto hivyo sio vyema kwao kuona mabusu.

View attachment 281327
Tukio hili kama linavyoonekana hapo juu sio la kimaadili na hakika halipaswi kufanywa mbele ya jamii ya Kitanzania.

Pia shekhe hakusita kugusia juu ya watu wanao jihusisha na ukahaba ambao nao wanajiweka karibu na viongozi wa umma...hapa binafsi nilipata picha kuwa atakuwa anawazungumzia aunt Ezekiel na Wolper.

View attachment 281354

Huyo shehe nadhani ulimbadilishia kichwa ukampa chako, ndio kisa cha shehe kusema hivyo.

Lakini wenye hekima wakiwa kwenye nyumba ya vioo hawarushii watu mawe
 
Back
Top Bottom