Kupiga kura popote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupiga kura popote

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by matambo, Oct 30, 2010.

 1. m

  matambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani?

  Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani
   
 2. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Nilishawahi kuweka Post hapa kwamba inawezekana kupiga kura ukiwa popote duniani kwa kutumia Database kama vile unavyo tumia ATM Card, ukishatoa pesa itakwambia kuwa ushatoa.
   
 3. m

  matambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  majibu haya sidhani kama yalikuwa yanakubalika tanzania kabla

  so hadi sasa sijapata jibu sahihi , kuna mtu ananiuliza ili akapige kura na yeye yupo mbali na mahali alipojiandikisha
   
 4. L

  Left Wing Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Matambo hilo haliwezekani
   
 5. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  tetesi hizo si za kweli maana Kilavu alkishalitolea maelezo kuwa mtu atapiga kura kwenye kituo alichojiandikisha tu.
   
Loading...