connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
HakikaNi kupoteza muda. Kura haziheshimiwi
Hiyo illusion imekuwa hivyo kwa miaka mingi, ndio maana wakitokea watu wakihoji wanapigwa vita sanaUende, usiende mshindi tunamjua.
Urais: CCM,
Ubunge: CCM,
Udiwani: CCM
Raha sanaHiyo illusion imekuwa hivyo kwa miaka mingi, ndio maana wakitokea watu wakihoji wanapigwa vita sana
Yule mazer ni teepee kiwango cha milima ya Himalaya.Mwenyekiti wa CCM anajua mpaka idadi ya kura atakazo tangazwa ameshinda. Ameyasema mwenyewe Dodoma “ukichukua wanachama wetu wote na wanaotupenda “
Unambishia hata wa kwenu Bunda Mzee Wassira?Siwezi kupiga kura kwa mazingira haya
Kama una akili timamu huwezi kupoteza muda wako kwenda kupiga kura isiyo heshimiwa. Ni bora kubaki tu nyumbani, au kuendelea na shughuli zako nyingine.Ewe Mzalendo Uende, usiende mshindi tunamjua.
Urais: CCM,
Ubunge: CCM,
Udiwani: CCM
Wasira mwenyewe hatumtakiUnambishia hata wa kwenu Bunda Mzee Wassira?
Ni utaahira mkubwa kupoteza muda kwenda kupiga kura wakati wagombea wote wa CCM watatangazwa kushinda kwa 99%.Ewe Mzalendo Uende, usiende mshindi tunamjua.
Urais: CCM,
Ubunge: CCM,
Udiwani: CCM
Safari hii day limepandaCHAUMMA kuleni pesa mtambae. Hakuna jipya
Samson mahera aliyekuwa mkurugenzi wa tume naye yupo kwenye kinyang'anyiro.Ewe Mzalendo Uende, usiende mshindi tunamjua.
Urais: CCM,
Ubunge: CCM,
Udiwani: CCM,
Msimamizi wa Uchaguzi: Mkurugenzi CCM
Tume/Mwenyekiti/Makamu Mwenyekiti/Makamishna CCM