Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Kuna Main Valve ikifeli?!..huo upepo kwa kusukuma utapita wapi?Retarder sio engine stopper kupiga neutral lazima uangalie na mzigo ulopakia na eneoGari lenye axle sita, linaanzaje kufeli breki axle zote?
Kama kuna makampuni hayafungi Car tracking systems kwenye malori yao basi naamini yapo too much outdated!.Madereva wengi wa magari ya mizigo wamekuwa na tabia ya kuweka free malori wakati wakiwa kwenye miteremko ili kuokoa mafuta, mafuta ambayo baadaye huyanyonya kwenye vidumu na kwenda kuyauza (kama faida baada ya kumaliza safari na mafuta kubaki).
Ndo ivo. Hata hii ajali ya juzi Songwe, wakienda kukagua lile lori, wanaweza wakakuta lilikuwa kwenye free gear!We Ni Engineer Kyando wa NIT? Huenda ikawa kweli hiki ulichoandika ,madereva wajitathmini
Kumbe kuna mahali unachangiaga point za kisomi?., kuna thread ukivurugwa unaishia kurusha vi GIF vya mabomu ya kujitenge nezea ya Cossovo na Ukraine.Nimeamini hata kichaa kuna siku anapona.Kuna Main Valve ikifeli?!..huo upepo kwa kusukuma utapita wapi?Retarder sio engine stopper kupiga neutral lazima uangalie na mzigo ulopakia na eneo
Hivi rotation na revolution ni tofauti?Madereva wengi wa magari ya mizigo wamekuwa na tabia ya kuweka free malori wakati wakiwa kwenye miteremko ili kuokoa mafuta, mafuta ambayo baadaye huyanyonya kwenye vidumu na kwenda kuyauza (kama faida baada ya kumaliza safari na mafuta kubaki).
Suala hili huenda ndio limetugharimu kwa kusababisha ajali nyingi za malori hasa kwenye miteremko mikali.
Unaposhuka mteremko mkali gari ikiwa free, na kutumia breki ya kawaida, hufika hatua gari kuishiwa upepo, na hapa shida ndipo inapotokea.
Iwapo kama dereva angeshuka huku gari ikiwa kwenye gear, revolution za engine huwa juu na hivyo gari huwa linakuwa na upepo wa kutosha wakati wote.
Kama Lori likiendeshwa inavyostahili, nina uhakika hakuna lugha ya lori kufeli breki.
Katika magari ambayo uwezekano wa kufeli breki ni mdogo, basi ni haya malori. Gari lenye axle sita, linaanzaje kufeli breki axle zote? Haya malori kwanza yana breki za aina nyingi ambazo zinaweza kufanya kazi wakati wote.
1. Gear ndogo ni aina ya kwanza ya breki. Ukiweka gear no moja au ile gear ya Crawler, hiyo tayari ni breki.2. Bado kuna ile break ya retarder / engine stoper,3. bado kuna breki ya kawaida ya mguu na pia4. kuna hand break.
Hivi inawezekanaje breki zote hizi zikafeli kwa wakati mmoja? Uwezekano wa kufeli kwa breki zote hizi kwenye roli ni asilimia 0.00%.
Serikali itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti ajali kwenye miteremko ya milima ya Mbeya na Songwe pia iwapo itaweza kutega kamera (za kubaini revolution za engine) kwenye maeneo ya miteremko kubaini maroli ambayo yatakuwa yanateremka yakiwa kwenye free gear.
Vinginevyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!
Kama mabasi tumefanikiwa kuyadhibiti, maroli hayawezi kutushinda!
Iwapo kuna uwezekano wa kufunga ving'amuzi vitakavyoweza kutusaidia kubaini roli linalotembea kwenye free gear, Serikali isisite kuchukua hatua ya kufunga ving'amuzi vya aina hii kwenye malori!
Mbeya ni nyanda za juu. Iko takrabini 1700metres kutoka usawa wa bahari (sina uhakika). Hili hufanya magari yanayokwenda Mbeya kuwa yanakwenda kwa kupanda mlima wakati magari yanayotoka Mbeya kwenda Dar kwenda yakiwa yanashuka mteremko.Ebu naomba Geographia ya Mbeya kwanza !!
Mbeya ni nyanda za juu. Iko takrabini 1700metres kutoka usawa wa bahari (sina uhakika). Hili hufanya magari yanayokwenda Mbeya kuwa yanakwenda kwa kupanda mlima wakati magari yanayotoka Nbeya kwenda Dar kwenda yakiwa yanashuka mteremko.
Hili hufanya madereva wengi kushuka free na hiki ndicho huweza kuwa chanzo kikubwa cha ajali za maroli. Takwimu zinainesha, maroli mengi yanayopata ajali ni yale yanayotoka Mbeya kwenda Dar kuliko yale yanayotoka Dar kwenda Mbeya.
Hili huondoa factors zingine kama uzito wa mizigo, uchakavu wa gari au umahiri wa dereva na hapa tunabakiwa na factor moja tu ya miteremko mikali kama main suspect wa ajali.
Huwezi laumu ubovu, kama bovu mbona lilienda salama? Huwezi laumi umahiri wa dereva coz yeye ndiye aliyelipeleka.
Hapa tunalaumu unsafe acts yani madereva kuwa na tabia ya kushuka miteremko gari likiwa free hivyo kuishiwa upepo hivyo kulifanya lipoteze muelekeo.
mkuu usicheze na ngozi nyeusi aisee, wanaweza sanaKama kuna makampuni hayafungi Car tracking systems kwenye malori yao basi naamini yapo too much outdated!.
Siku hizi tracking systems zinaonyesha mpaka kiwango cha mafuta kilichopo na hata dereva akifungua mfuniko wa tank mmiliki unapewa taarifa labda alibomoe pembenina kilibomoa sijui atahakikisha vipi gauge zako zinabaki vile vile!..
Kuna Milima mabonde...Ebu naomba Geographia ya Mbeya kwanza !!
Zote ni Angular motion. Ila kwenye magari mara nyingi tunatumia Revolution.