Kupiga bao

Gonga kitimoto ya kuchoma, mapilipili kwa wingi, then tupia konyagi. Utaomba mwenyewe bao litoke.!
 
By simple analysis inaonekana by the time unaanza game ulikuwa unakaa kwa wazazi kwaiyo mboga tatu zilikuwa hazisumbui, ma mchicha, mlenda, kisamfu, matembele, nyanya chungu na sea food vilikuwa havisumbui so mwili ulikuwa healthy and so the game was good. Sasa at 25 yrs unaonekana unajitegemea so chipsi kuku, burger, nyama choma na bia kwa wingi ndo misosi unayo afford, kwakua hujaoa na hamna wa kukupikia. Jaribu kurekebisha diet utaona changes nzuri tu. Mi nna miaka 40 na goli ya kwanza pye kwa pye napiga 45mins!
40 mins? Basi hata mimi nina matatizo katika hili
 
unazeeka mzee! Ulikuwa 18 sasa uko 25. Afu kumbuka hii theory... Ukiona kibatari kinawaka jua mafuta yanateketea.. Ukitaka kuishi vizuri jaribu kufanya kila kitu kwa kadri..yaani kati na kati..yaani kitu chochote unachofanya usizidishe na wala usifanye kwa kiwango cha chini..utakuwa salama.
 
Na ukifikia kuoa then utajikuta haisimami tena. U knw kila ki2 kinatakiwa kwa kiasi, miaka 18-25 umeshaanza kupungua nguvu wakati kwa sasa ndo ulitakiwa uwe unahunguruma km simba? Mwee! Sasa ukioa afu uwe na majukumu, stress na uchovu c ndo itaerect kwa sekunde 2? Uifanyiage na hyo dudu mazoezi ya kusimama kwa mda mrefu, na ujifunzage kuhold orgasm, may be itakuja kukusaidia when u'l be 40 and u nid it,....kwa sasa u can abstain....UNAWEZA? Lol!
 
Back
Top Bottom