kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
Hivi ni kwanini mara nyingi mtu unapotokea kumpenda mtu ndio unakuta hana muda na wewe hataa ama ndo anakujibu dry kisooo ila sasa inapotokea mtu hata humuwazi wala huna muda nae ndio anakugaanda na kukupenda mwisho wa siku unaishia kumuumiza na kuonenekana PLAYA ama KICHECHE.
Na mara nyingi wale wa kiume wakionaga manzi anajisogeza inakuaga ngumu sana kukataa.....
Kwanini iko hivo mara nyingi? yaani kupenda usipopendwa na kupendwa usipopenda?
Na mara nyingi wale wa kiume wakionaga manzi anajisogeza inakuaga ngumu sana kukataa.....
Kwanini iko hivo mara nyingi? yaani kupenda usipopendwa na kupendwa usipopenda?