Unaamshwa asubuhi, Unatayarishiwa maji ya kuoga, Unaandaliwa nguo za kuvaa kwa siku hiyo, Unaandaliwa chai au brekefast kwa kizungu aaah
Unapewa maneno ya kutiwa moyo na mwandani wako, Njiani unasindikizwa kwa simu ya mwandani au sms , Ukifika job au kibaruani unaanmbiwa "kazi njema".
Unakumbushwa kula chakula cha mchana na mwandani kwa simu au sms, Jioni unapewa dondoo za stori na mwandani kabla ya kutoka ili upate hamu ya kurudi nyumbani mapema Ukifika mwandani anakupokea na kukupa pole kwa namna anavyojua yeye, Unakaa kwenye kochi anakuwashia Tv anakuwekea kipindi ukipendacho. Unaletewa chai ya kutayarisha tumbo kbla ya mlo wa usiku.
Hapo sasa ratiba inajishona yenyewe baada ya kula chakula cha jioni (dinner).
Mwasemaje wadau?