Mkuu kupenda hakulazimishwi wala mtu halazimishwi kupenda na kujifanya unampenda mtu kumbe humpeni sio kumtendea haki sababu in the long run unaweza kuanza kumfayia visa na kumchukia na kudhani ulimfanyia favor.I felt guility maana ni kama vile alinifanyia 'I wont forget you even on my dying bed' maana alifariki saa tano na nusu usiku the same day.
Jamani ukimpenda mtu akasema hakupendi elewa, just understand, it happens.
Duuh inasikitisha lakini, assume ndio ungekuwa wewe unamhangaikia mtu for almost 11 year afu anakutolea nje. It hurts more than you thnk, muombe mungu akupe mume bora maishani mwako...
inaumiza sana ila mara nyingi ni ngumu kujilazimisha kupenda.
Hii story imeniumiza sana maana..........
tulikuwa tukiishi mikoa tofauti, mbona nilienda eapot bila hata tiketi ikabidi nikamuone for the last time, uzuri hata kwao walikuwa wananifahamu so i had my space msibani. It was hard, very hard. Mitaa yote ya huko wanajua i was dating him na walijua nilienda mzika mpenzi wangu kumbe a friend.Na mleta mada don't feel guilty sio kwamba amekufa sababu ya penzi lako (nature has taken its cause) lakini next time rafiki akikupigia simu yupo hoi jaribu kutafuta muda kwenda kumuona
tulikuwa tukiishi mikoa tofauti, mbona nilienda eapot bila hata tiketi ikabidi nikamuone for the last time, uzuri hata kwao walikuwa wananifahamu so i had my space msibani. It was hard, very hard. Mitaa yote ya huko wanajua i was dating him na walijua nilienda mzika mpenzi wangu kumbe a friend.
Kosa ulilolifanya ni kumpa too much entertainment wakati unajua kuwa humpendi. And the way ulivyokuwa unamu-entertain ilikuwa inampa hope kwamba ipo siku utakubali. Don't do that kwa mtu mwingine kama humpendi kaa naye mbali
Hapo umeshiriki kuua ingawa ni kwa manslaughter na sio murder
Kwahiyo kwenye maisha hakuna nafasi ya urafiki bila mapenzi.., na mtu akisema anakupenda alafu ukawa humpendi ndio unamkimbia..?, yaani hakuna nafasi ya urafiki kwa mtu anaekupenda..?, wewe umeshamwambia kwamba unae mwingine kosa lake la kutoku-move on sioni kwanini liwe kosa lako.
Ndio maana nimesema kosa lake lilikuwa ni kumpa TOO MUCH ENTERTAINMENT na wala sijakata uwepo wa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke
Kwahiyo angempenda asingekufa...?, na ni nani kasema amekufa kwa heartbreak..?
Tena badala ya kumlaumu mtoa mada inabidi kumpongeza kuendelea na kukaa na huyu rafiki yake kama ndugu bila kumpa false hopes na kuishi nae kama kaka yake, kuliko angemkimbia sioni angesolve nini