Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
- Thread starter
- #21
Kwahiyo kwenye maisha hakuna nafasi ya urafiki bila mapenzi.., na mtu akisema anakupenda alafu ukawa humpendi ndio unamkimbia..?, yaani hakuna nafasi ya urafiki kwa mtu anaekupenda..?, wewe umeshamwambia kwamba unae mwingine kosa lake la kutoku-move on sioni kwanini liwe kosa lako.
Asante kwa kunielewa, mara nyingi rafiki wa kweli ni yule anayekufahamu tangu unatembea peku kwenda shule hadi unapojua kuvaa high heels za kina steve maden. Marafiki wa ukubwabi ni strategic positioning kwa ajili ya maslah zaidi, so sikutaka kumpoteza kabisa sababu he would tell when am wrong or right honestly. Alinifahamu fika na ni mtu ambaye nilikuwa free kusema what i feel, hata mahusiano yangu ya kimapenzi aliyajua fika sababu niloweka wazi kabisa from day one.