Mfano, mara zote tumekuwa tukiwapenda watu kwa sababu wanatupa/tunatarajia kupata feedback nzuri zinazoturidhisha ama kutufurahisha na si kwa sababu tunawafanyia mambo mazuri yanayowafurahisha ama kuwaridhisha!
Fanya hivi nenda kwa wale vijana wanauza miwa kwenye vifuko nunua Kama ya 20,000/- chukua katakata weka kwenye ndoo ya lita 20 oga kutwa Mara Tatu kwa siku tatu unakua mtam! Kila mtu atakupenda!!