Aksante studio. Kuna mwingine ana pesa lakini hajui kuvaa, na kuna mwingine pesa ndo inampendezesha, kuna mwingine ana pesa kiasi cha mboga lakini anapendeza mbaya, naona kupendeza ni maujanja
Pesa ndio kila kitu,pesa inakufanya uwe na nuru usoni...
Kwangu pesa kwanza hata nikivaa malonyalonya nipo ndani ya vogue safi kuliko nipo smart suti kali moka safi then nachapa lapa jua mvua vumbi vyote vyangu!!