ukuWapi umeniita jamani
Niko njema kabisa mama mkwe hofu kwa mke wangu na kwako
Sjaona
Hahaha cc mpenzi wanguMpenzi wangu nakupenda mie
nimepita tu nilikuwa nakusalimia
Hahaha cc mpenzi wangu
Sawa mama mkweSisi wazima kabisa ba mkwe jamani
ok basi niite mimi nikujeSjaona
nimekumiss pia, habari swaumMm mzima nimekumiss
Mtaje hebuMpenzi wangu nakupenda mie
Mtaje hebu
nimekumiss pia, habari swaum
hapana bhana...Swaumu safi naona umetususa makapuku
Akaok basi niite mimi nikuje
Hahahahahhaahaya bhana naona "" mnatulingishia....ngoja mie "" nimkumbatie mdoli wangu " Samantha "....Mambo ya kuja kupata jipu la Moyo kwaajili ya wivu wa mapenzi sitaki mie
unamuogopa nani??
Simuogopi yoyote yule, kwa nn umesema hivyounamuogopa nani??
hahaha..kumbe upo ""...hauja nitag kule "" nime nuna ""....Hahahahahhaa