Kupenda shida sana

Kupenda shida sana

tobaaa..
Mnatupa kazi ngumu Sana kujadili mahusiano ya watoto hivi wewe na Akili zako ulimfikiriaje huyo binti alivyokua anakuhadidhia alivyotombwa wakati mmeachana huyo kichwani chenga +utoto mpaka ufe nimeona hapo juu unajitetea kwamba we sio mtoto lakini wewe ni mtoto Ngoma zenu hua hazikeshi tuliza Akili ujiulize kwamba wanaume wote Tanzania wanamahusiano na hako kabinti ukigundua kwamba sio ufikiri tena je Mimi Ndo mwenye Raha kwenye penzi zaidi ya wanaume wote ukigundua kwamba sio Basi utapata jibu by the way naona umeamua kua bushoke Kwa reason ya kusaidiwa kwahiyo mtaka cha uvunguni shariti ainame
 
Wanaume tumepungua sana. Utategemea je pesa ya mwansmke, lsbda mimi sio binadamu, siitski 100% pesa ya mwanamke
Wenzako wanaifurahia tena anaweza demand kama aliweka yeye. Vijana wa siku hizi wanalia lia sana
 
Boda nipasue mawe kuliko kutegemea chochote cha mwanamke, mimi ni King, mlezi, mshauri, kiongozi...nikiwe tegemezi kwa anayetekiwa nimwezeshe, nimshauri, nimeongoze...itakuwaje?
Wenzako wanaifurahia tena anaweza demand kama aliweka yeye. Vijana wa siku hizi wanalia lia sana
 
Kabla hatujashauri kitu hebu tuambie huyo binti anafanya kazi gani ya kuweza kukusaidia
 
Demu wako anajua kuwa nikweli haupo sawa kiuchumi? Nakama anajua wewe wasiwasi wako nini haswa Wakat muolewaji anajua haupo sawa nawala hana neno. Au nyie ndio kwanjee mpo vzr ila kumbe ndani yanafsi zenu mmepauka kama mavi makavu
 
Demu wako anajua kuwa nikweli haupo sawa kiuchumi? Nakama anajua wewe wasiwasi wako nini haswa Wakat muolewaji anajua haupo sawa nawala hana neno. Au nyie ndio kwanjee mpo vzr ila kumbe ndani yanafsi zenu mmepauka kama mavi makavu
Kwamba kama nini???
 
Kwa sasa ki umri mko sawa. Demu huyo mjanja sana analijua hilo

Huyo akikaa na wewe umri wake ukigonga 40 hivi, wewe utakuwa bado kijana kimuonekano kuliko yeye.

hivo utamuona mzee, utamuolea mke mwingine, anahisi atapata taabu sana ktka ndoa ya mitala analijua hilo

tofauti ya ke na me iwe miaka 35 ,hivi ndo mtaenda sambamba. tafuta mage mwingine.
 
Maisha yanachangamoto sana,kama wewe unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda,jiandae kwa maradhi ya moyo.
 
Back
Top Bottom