yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
- Thread starter
- #21
nop mi sio mtoto banaYale Yale. .kumbe bado ni teenager. .nyie wote mtakuwa bado ni watoto
nop mi sio mtoto banaYale Yale. .kumbe bado ni teenager. .nyie wote mtakuwa bado ni watoto
Umebugi mennnnn....mwanamke kamwe hapendwi....utakuja jinyonga very soonNop sio kwamba kwa sababu ananisaidia ila ni kwel nampnda sana
Umebugi mennnnn....mwanamke kamwe hapendwi....utakuja jinyonga very soon
I used to be like you Jodybt nampenda sana
Na ukijiandaa bhasi hutaenda tena kwaoo..!! Pata pesa mkuu utagundua humpendi maana hayo manyanyaso ni umaskini tu kwa kweli ndo u akuweka naenapenda sana kwenda kwao lakin kwa ss sipo sawa sijajiandaa bado



I used to be like you Jody
Najua unampenda but before 25 atakupasua kichwa, anawaza harusi tu hapo bila hata kujua gharama ya ndoa ni nini. Mpe nafasi akomae kwanza, 21-24 ndio umri wa msichana kujiona beyonce na ataitafuta ndoa kwa kubadili mabwana kishenzi ila akifika 25 ataanza kuona vitu katika dimension tofauti kama mtu wa kuelewa na kutulia mtaenda sawa.
Achana nae uyo mzinguaji kamanda wanawake wapo wengi sana anakunyanyasa kisa eti utaki kumuoa uyo chenga kabisa
Mkuu kwani teenager maana yake nini?Yale Yale. .kumbe bado ni teenager. .nyie wote mtakuwa bado ni watoto
sawa asnteMarioo wewe
Umarioo mateso sanaa yani mwanamke mnarudiana anaanza kujitamba kuwa mlipoachana alitombesha sanaaMarioo wewe







Umarioo mateso sanaa yani mwanamke mnarudiana anaanza kujitamba kuwa mlipoachana alitombesha sanaa![]()
Mkuu kiukweli Huyo mwanamke vihela anavyokupa ndo vinafanya Awe na dharau na anajua hata akikuambia ndoa now huwezi so hiyo ndo ticket ya kuachana..!! miaka 22 mdogo sana huyo yani bado hajala rahaa ukizingatia wewe pesa huna aisee kazi unayoodaaaa.
Mnatupa kazi ngumu Sana kujadili mahusiano ya watoto hivi wewe na Akili zako ulimfikiriaje huyo binti alivyokua anakuhadidhia alivyotombwa wakati mmeachana huyo kichwani chenga +utoto mpaka ufe nimeona hapo juu unajitetea kwamba we sio mtoto lakini wewe ni mtoto Ngoma zenu hua hazikeshi tuliza Akili ujiulize kwamba wanaume wote Tanzania wanamahusiano na hako kabinti ukigundua kwamba sio ufikiri tena je Mimi Ndo mwenye Raha kwenye penzi zaidi ya wanaume wote ukigundua kwamba sio Basi utapata jibu by the way naona umeamua kua bushoke Kwa reason ya kusaidiwa kwahiyo mtaka cha uvunguni shariti ainame



Yani hiyo ni dharau sanaa...Mwana hajamwambia habari za kugonga wadada walipoachana kwa muda mrefu ila mwanamke amemwambia... Hicho kitoto shule hakitaki na kimechoka kukaa mtaani bure bure tu sasa mwana nae now hana uwezo wa kumtunza wala kumlea yani Jamaa atateseka mnoo sanaaa.. Mpaka atachakaaa..