yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
Wadau habarini, naombeni ushauri mwenzenu nina mpnzi wangu anaitwa Magreth tumeanza kitambo sana bt hapa kati tukaja kuzinguana kidogo ila kwa sana nipo nae
Ila kuna kitu sikiewi amenambia ukweli kuwa yupo na mm ila kwa kipindi ambacho tulikuwa tumetengana alikuwa na watu wengine ambao nao walizinguana ko anaona kama wanaume wote sawa tu ila mm nampenda sana tu na mala kibao tu nikikwama kwenye mambo yangu ananisaidia.
Ila ukweli kuwa kama bado hajatulia na kunambia kuwa nikitaka haya yote yaishe ni kwenda kwako kujitambulisha na kumuoa ila kwa sasa mimi sijawa sawa kiuchumi.
Nifanyaje?