Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
- Thread starter
-
- #21
We ni wa jinsia gani?Kumpenda mtu sio natural state....Ni transitional state,it is unstable state!
Kupenda mtu au kuchukia mtu ni very transitional and un-natural state.Hii stage inaletwa na arousals kutokana na external causers hivyo sio permanent.Ubongo unakua altered,unakua haupo kwenye normal state ambao ni "ukichaa"...
Bwana Conte kupenda au kuchukia ni ugonjwa,unahitaji counselling urudi normal state!
Mapenzi ni ugonjwa wa akili.....
Chuki pia ni ugonjwa wa akili....
State ya kawaida ni HURIA....
Ndio inafanya dunia kua normal na amani.....mapenzi na chuki ni hali hatari sana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Giggy Yule ni balaa
You are so beautifulDuuh!
We msukuma wa kolandoto hebu tulia weweHuyu ndo anajifunza hajalizwa
Siku amelizwa.....
We nipende tu na wewe uone rahaNiambie Kaka. Ni kweli asemalo mleta uzi?
Mimi ni MeWw ni ke au me....
Hapo sasaWakati wengine wanaumizwa na kulia , wengine wanazidi kupenda.... [emoji23][emoji23]the world is not fare
We ni wa jinsia gani?
Hujajua na wewe kitu kimoja.Ukishajua jinsia yangu itakusaidia nini?
Hukuelewa post yangu labda?
"kupenda" au "kuchukia" ni temporary conditions....hivyo ukitulia ukarudi kwenye normal state utagundua unakishabikia now ilikua ni ugonjwa tu wa muda!
Hahahahaaa
Hujajua na wewe kitu kimoja.
Ngoja nkupe hiki.
There is no fear in love, because fear involves torments andlove cast out all fear. Whoever fears has not made perfect in love.
Kazi kwako na wewe na ugojwa wako wa kua huru
Ha ha ha ha ha so do you want us to believe the definition from philosophers?Wapi nimeongea neno "FEAR"?
Uwe na love usiwe na love mwanadamu anakimbizwa na FEAR regardless!
It is really hilarious vi-definition vyako vya LOVE ndio sahihi kwa kila mwanadamu?Who told you that?
Nani kakwambia HURU ni ugonjwa?
Unajua definition ya "ugonjwa"?
Ha ha ha ha ha so do you want us to believe the definition from philosophers?
Do you know the author of what I said about Love?Haya,who is credible between "YOU" and "PHILOSOPHER"?
Tumuamini msomi alie-spend maisha yake kufanya research ya jambo hilo au wewe au mimi some random internet dudes?
Honestly,Who do we suppose to believe between you two?
Sawa tupo tunakuangalia , labda huyo kashushwa kutoka mbiguni [emoji4]Ukipenda huachwi unakomaa km ruba
Ukichapiwa unavumilia inakua siri ya ndaniSawa tupo tunakuangalia , labda huyo kashushwa kutoka mbiguni [emoji4]
Do you know the author of what I said about Love?
If you knew who is author , you would not come and ask me such a question.
Anhaa,kama upo tayari kwa hili,sawa. Utakua umeshajiandaa kisaikolojiaUkichapiwa unavumilia inakua siri ya ndani