Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Jamani niacheni nione raha na utamu wa kumpenda mpenzi wangu. Yani najihisi raha isiyokifani mpk nashindwa kua na ufahamu niseme kipi na kipi nisiseme.
Nitoe swali tu Kwa vijana wenzangu. Mtu akikuukiza hili swali. What does woman need the most in relationships? Utajibu nini?
Kan'tangaze njoo mpenzi wangu
☻[emoji99][emoji99][emoji99]Da Hajar""Duuh!
Niambie Kaka. Ni kweli asemalo mleta uzi?☻[emoji99][emoji99][emoji99]Da Hajar""
Giggy Yule ni balaaDuuuh mkuu mbona hizo kauli za wakutangaze Kama akina gigy mapesa
Ukipenda huachwi unakomaa km rubaTukuache uone raha eeeh!??? Ukiachwa pia usije kutuomba ushauri, tutakuacha uone maumivu
What does woman need the most?acha upunwe pesa ubakie mapumbu ndio akili itakukaa sawa.......hawa watu tulionywa tuishi nao kwa akili.....atakuektia weee utadhan unapendwa kumbe ana target zake....... whatch out dude
Yani hiyo haiji kutokeaAngalia usje rudi hum na uzi unaokinzana na huu mapenzi yana maana pana