Kupenda ndiyo nini?

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Hivi wakuu kupenda ndio kitu gani? Mimi navutiwa sana na akina dada, na nikizamilia kumla nitafanya yote ili nimpate, but after that, ndo inakua mwisho wa habari.

Sasa huwa siwaelewi wale unakuta wanalia kua nampenda mtu flani, nikimkosa nitajiua, sili nikashiba, huba lake limenimaliza na ujinga mwingine kama huo!

Sinaga wivu, siwezi shindwa kufanya mambo yangu kisa mtoto wa mtu. Akichelewa kunitunuku au akininyima uwa natake easy tu kuwa ndo maamuzi yake and I move on.

Ebu nilezeni nyie mnaoteseka na mapenzi hicho ni kitu gani?
 
Love is the strongest emotion in the World.
Kama haupo matured huna mke na watoto wanaokupa furaha huezi elewa we tongoza videmu demu tu
Ukioa na kupata watoto ndo utatambua mapenzi ni nini ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…