Kupenda na kutaman!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi.
Nawakilisha.

Naona directed kwa kaka zangu.... ila kwa mambo mengine jibu ni ndio... Mfano mie sio mpenzi wa Ndizi kama chakula for sizipendi.. but kuna wakati natamani.. nakula kwa hamu then sitaki tena mpaka hamu ije tena.... na yaweza chukua weeks au miezi...

kwanin uchague kitu ambacho haikipend?

kuna mtu ambaye hapendi kitu kizuri.

Inabidi utambue kua kila kitu ni kizuri na kila kitu ni kibaya ikitegemewa na anae define sifa ya kitu husika... Hivo wee waweza ona hiki ni kizuri na wakipenda mwingine akaona ni kibaya na akakichukia... woote mkiwa na sababu za msingi... na kila mmoja akishangaa wee wakipendea nini na vice versa....

kwahiyo kitu kimoja naweza kukiona kizur kwa vigezo vyangu nawe pia ukaiona kibaya kwa vigezo vyako. Kwanza lazma kila kitu utakipa category either kizur au kibaya. Hiyo category itakufanya ukitaman au la!!. Kutaman kunaendana na kupenda.

Lazma utamani kitu ulichokipenda. Mtaani kwenu, kuna wasichana weng. Ila kat ya hao umemtaman mmojawapo!. Sababu gani iliyokufanya umchague huyo na si mwingine?. Huo ndio upendo wenyewe.

Unatamani kwanza then unampenda. Wanapouliza swali hilo huwa wanataka kujua kiasi cha mambo hayo kipowap, mean kupenda sana ama kutamani sana!

Sio kila ambacho ukipendi ni kibaya... waweza ukawa hukipendi but once in a while ukataka ladha yake...

Unaweza usikichukie na wala usinipende, l mean ndizi sio favourite dish yako; lakini kuna siku una hamu nayo!

Naona muamzisha mada anacheza kwenye extreme 2 kupenda na kutokupenda (kuchukia)!

Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi.
Nawakilisha.

Kwa maoni yangu .. Jibu la hilo swali linategemea mambo mengi sana ..machache ni kama umri na stage ya muuliza swali au mlengwa.

Kama ni vijana wanaochipukia kwenye fani ya mapenzi nadhani hawajui wanauliza nini na wanategemea nini...Jibu linategemea na nadharia yao..na theories wanazosoma MMU..

Kama ni mtu ambaye ameshaonja tamu na chungu ya mapenzi nadhani atakakuwa anataka kujua tofauti ya maisha aliyoishi na woga wa kuona chungu nyingine..

kama ni mtu aliyekata tamaa kama atopata mpenzi basi atakuwa anauliza kwani haamini kile anachotegemea..

Kifupi.. sidhani kati yetu hakuna mtu anayeweza kujibu hilo swali..maana yake kuna majibu zaidi ya 1,000 na yote ni sahihi!

Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi.

Nawakilisha.

Ukimuona mdada beach amevaa bikini na umbile na uzuri wake unavutia; unaanza kufanya nini kwanza-: kumtamani au kumpenda?

Una ndugu yako wa kike, she is ur best friend! Anaweza kuwa dada yako au cousin wako! Unampenda au una mtamani?

Kuna Jirani au schoolmate wako, unamkubali kwa akili na mambo mengine mengi si mapenzi! Unampenda au unamtamani?

Kuna kichaa (newly mentally sick 16yrs chick), amepita bustanini kwako naked bado hajawa mchafu mchafu! Utampenda au utamtamani?

Una mke nyumbani mzuri kwa tabia na almost kila kitu! Ofisini kwako kuna kidada kizuri kwa sura umbile ila tabia hafai; anavaa kiuchokozi, anakaa kimtego, sauti ya kiuchokozi! Kaja ofisini kwako kakaa kwenye sofa mini skirt imepanda, mapaja kaachia, chupi hajavaa; utampenda au utamtamani?

Hope this helps!

mimi vyote ninavyovipenda ninavitamani. Msichana hata aje chumbani uch kama simpend sintofanya kitu chochote.

ninavyojua ni kwamba vitu vyote unavyovitaman lazma utakuwa uwevipenda.

Wewe unapenda sex/ngono! Na possible unapenda sex na watu tofauti tofauti! So huyo dada unatamani ufanye naye ngono ambayo wewe unaipenda!

Sio kwamba unampenda huyo dada, na unaweza usiwe unamchukia pia! But one thing for sure wewe unapenda kufanya ngono!

AshaDii...well said umejibu ipasavyooo...kutamani na kupenda vitu viwili tofauti

Unaweza usikichukie na wala usinipende, l mean ndizi sio favourite dish yako; lakini kuna siku una hamu nayo!

Naona muamzisha mada anacheza kwenye extreme 2 kupenda na kutokupenda (kuchukia)!

In that sense... it brings sense...

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom