B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,573
- 3,255
dada sitaki kukuita hivi we kilaza yani uhoni huyo mwanaume hakupendi kabisa he is gold diggersimwelew mpenz wang,,huwa anatabia ya kuniach kam mwezi mpaka nimbembeleze sana anarudi kwa masharti ya kupewa hela afanye biashara,kwasababu nampend huwa naampa,nilipata matatizo na kuacha kazi,hiv sasa ni mwezi wa pili hanitaki nikimbembeleza anataka nifuatilie pesa za NSSF ili anunue gari ya biashara,cha ajabu anaishi kwao,mim ni msichana nimepanga hajui naishije ila anatak hela tu basi,,,je nifanyaje?