kupenda kwingine utumwa

kupenda kwingine utumwa

Kama umegundua kupenda ni utumwa, fanya haraka ujikomboe ili uwe huru.
Nukutakia kila la heri
 
mpe ci umependa kama hutaki mpige chini njoo kwangu mi cintokuchuna
 
Ubongo wako nahisi umeganda...hebu fanya juhudi uuyeyushe kwanza.
Hivi wanawake wengine kwa nini huwa mnapelekeshwa hivyo na wanaume? kwani huwa tunawashikia mitutu siye kuwa mtupende ima faima
 
Aisee I can't believe kama kuna mshkaji wa namna hiyo. Na wewe nini kinakuvuruga kwa huyo jamaa.!!
 
Mwee kumbe wewe ni mwanamke!!!!!!!

Huo ni mzigo mzito na inabidi uutue fasta!!!!!!!!!
 
simwelew mpenz wang,,huwa anatabia ya kuniach kam mwezi mpaka nimbembeleze sana anarudi kwa masharti ya kupewa hela afanye biashara,kwasababu nampend huwa naampa,nilipata matatizo na kuacha kazi,hiv sasa ni mwezi wa pili hanitaki nikimbembeleza anataka nifuatilie pesa za NSSF ili anunue gari ya biashara,cha ajabu anaishi kwao,mim ni msichana nimepanga hajui naishije ila anatak hela tu basi,,,je nifanyaje?

mpe 2 c unampend bt ujue huyo yupo kimaslahi 2 hakn upendo wa aina hiyo
 
. Wewe ndo hujielewi wala hujitambui

K umpe
Hela umpe
Bado umbembeleze

Acha ufala
 
wewe vipi tupa kule huyo anakufanya zezeta tupa kule fasta
 
simwelew mpenz wang,,huwa anatabia ya kuniach kam mwezi mpaka nimbembeleze sana anarudi kwa masharti ya kupewa hela afanye biashara,kwasababu nampend huwa naampa,nilipata matatizo na kuacha kazi,hiv sasa ni mwezi wa pili hanitaki nikimbembeleza anataka nifuatilie pesa za NSSF ili anunue gari ya biashara,cha ajabu anaishi kwao,mim ni msichana nimepanga hajui naishije ila anatak hela tu basi,,,je nifanyaje?

Inaonekana hakupendi anapenda hela.. kwani huna mvuto wa kupata mwingine?? Mwache and move on
 
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia hayo..! Huyo anapenda pesa zako tuu.!
 
Pole shosti lakini hapo sioni kama kuna penzi,kwani huyo ndio mwanamme wako wa kwanza? shosti jambo la kwanza kuliko yote JIAMINI, halafu mengine yatafata,hata kama huyo jamaa hodari kwenye 6x6 asikupoteze mda wako,wako achana na kunguni huyo atakumaliza damu,na jua kua wewe unakua buzi kwake na wala sio kipenzi chake yuko anae mtoa kiu wala sio wewe,sasa basi yuko mengine anaetamani kua na wewe na hata kama hakuudumi kwa pesa hata kwa mawazo anatosho.
huo ----- achana nao utakuwasha mpaka basi............
 
simwelew mpenz wang,,huwa anatabia ya kuniach kam mwezi mpaka nimbembeleze sana anarudi kwa masharti ya kupewa hela afanye biashara,kwasababu nampend huwa naampa,nilipata matatizo na kuacha kazi,hiv sasa ni mwezi wa pili hanitaki nikimbembeleza anataka nifuatilie pesa za NSSF ili anunue gari ya biashara,cha ajabu anaishi kwao,mim ni msichana nimepanga hajui naishije ila anatak hela tu basi,,,je nifanyaje?

Vitendo kama hivyo mara nyingi wanafanyiwa wasichana wenye kasoro kubwa za kimaumbile kama ulemavu nk kwa sababu wanakuwa na hofu kuwa wasipo mfanyia kila asemalo huyo mwanaume akiachwa hakuna uwezekano wa kumpata mwingine vinginevyo msichana aliye kamilika idara zote hayuko tayari kuchunwa tena kwa masharti kama haya
 
simwelew mpenz wang,,huwa anatabia ya kuniach kam mwezi mpaka nimbembeleze sana anarudi kwa masharti ya kupewa hela afanye biashara,kwasababu nampend huwa naampa,nilipata matatizo na kuacha kazi,hiv sasa ni mwezi wa pili hanitaki nikimbembeleza anataka nifuatilie pesa za NSSF ili anunue gari ya biashara,cha ajabu anaishi kwao,mim ni msichana nimepanga hajui naishije ila anatak hela tu basi,,,je nifanyaje?

Siku zote ukiona mtu anatanguliza pesa mbele, ujue hakuna mapenzi hapo! Mtu gani anakujali wewe ukiwa na pesa tu? Mtu hakukumbuki, huna kazi hana muda wa kukaa na wewe na kukufariji, na mbaya zaidi anataka ukachukue NSSF yako wewe umpe yeye anunulie gari ya biashara wakati wewe mwenyewe hauna kazi, ni akili hiyo? kwa nini pesa hiyo usiichukue wewe mwenyewe na kuitumia kama mtaji wako? Umenufaika vipi na biashara zake tangu ulipoanza kumsaidia? Hebu amsha akili binti, na fikiria kama mtu mzima!!!
 
Pole sana........yaan we ndo unahonga?....hmm em amka kupenda gan huko......fungua ubongo wako acha ujinga
 
pole sana kama vipi njoo kwangu mie mtoto wa kichagga najua kubembeleza...hata sitaki hata cent yakoo mie nataka mapz....
 
Achana nae huyo wa kijiweni tu ukicheka atakutoa roho mijanaume suruali ndivyo ilivyo
 
Back
Top Bottom