Kupenda kupita mipaka (SINGS & SYMPTOMS)

13. Ukikuta comment yake tu lazima umpige "LIKE".
:violin::bange::bange::majani7::bange::bange::violin:

kwahiyo unataka kusema na mie nakupemda kupita kiasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
(kweli hizi ni bhange)
 
Dalili za kupenda kupita mipaka; ukiwa na tabia hizi faham kwamba unatoka kwenye Kupenda kawaida unaelekea kwenye kupenda kupita kiasi ( From love to loving too much). Ebu tupia na wewe mawazo yako

1. Mazungumzo; dalili mojawapo ya kupenda mtu sana ni kwamba ; unatamani kuongea naye kila wakati ila yeye hajali na ata anaweza kukaa muda mrefu bila kukutafuta na asione kama ni shida kwake.

2. Unajisikia kua mtupu ndani yamoya wako kabla ata ujakutana na mwenzi wako.

3. unatumia siku nzima kumfikiria mwenzi wako na kupanga mikakati ya jinsi kuongea naye

4. Unashindwa kumwambia mapungufu yake ili ajirekebishe kwa kuofia atakupiga kibuti, kwako wewe kila kitu anachokifanya ni sawa.

5. hutaki kusikiliza au kutendea kazi ushauri wa ndungu jamaa na marafiki kuhusu mpenzi wako.

6. Mkikutana wewe unazunguzia zaidi sana kuhusu mapenzi ila mwenzio ndo kwanza anasoma gazeti.

7. Zawadi kila mara ili ku secure your love, unaisi kwamba usipo mpa kitu atakupiga chini.

9. kila siku yeye ni mtu wa ku bip, ukimwongezea salio, anakutumia tafadhalii nipigie, au anaku bip.

10. Mtu yuko inje ya inchi kwa mfano marekani au ulaya hapigi simu ila wewe kila siku unaruka hewani tena kwa muda mrefu.
11; Mara presha, mara kuumwa ati kwa sababu hujamuona mwenzi wako.

12. Ikifika kwenye game (Sex) sasa hujuwi uanzenje..., mwenzio kila siku anatoa sababu. na akikupa ni goli moja tu. huku mwenzio anasoma gazeti.

13 Endelea...
gud article mkuu!
 
Umenifungua macho kaka asante sana
 
Haaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaa naomba nicheke kwanza afu ndo nijibu,unajua besti ngoja nikuibie siri wewe tu,yaani kwa ufupi tu mimi na hesabu ni kama mafuta na maji yaani ni mbalimbali sizipendi na sitaki hata kuzisikia kwa hiyo huo uwiano we nisamehege tu mi nimejiwekea tu hapo.
Best huu uwiano wako umetumia kanuni gani ya Hisabati?
 
Tupo pamoja mkuu usijali.
Thanks !but niombee sio niwe 50/50 bali niogeze kufall na in case of anything niwe strong kuwithstand,there is no way I am going to love my girl 50/50.?hiyo 50 nyingine niiweke wapi?ibilisi asije kuitumia
 
kila siku unamtag picha au comment alafu anaishi kulike tu hata comment hamna
 
Haaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaa naomba nicheke kwanza afu ndo nijibu,unajua besti ngoja nikuibie siri wewe tu,yaani kwa ufupi tu mimi na hesabu ni kama mafuta na maji yaani ni mbalimbali sizipendi na sitaki hata kuzisikia kwa hiyo huo uwiano we nisamehege tu mi nimejiwekea tu hapo.

Bora umejitetea best yangu...
 
Kumbe ananipenda kupita kiasi; kila anachofanya ananijulisha; tangu nimekuwa naye ameishanipa zawadi nyingi sana. Anaponikosa kwenye sm anampigia dada yangu kumpa taarifa kwamba sim yangu haipatikani. Nikimkosea kidogo anaugua kabisa!
 
Back
Top Bottom