Kupenda kunaumiza

Kupenda kunaumiza

Aisee wanawake hakika Mungu anawaona kwa jinsi mnavyotufanyia ila Samsoni alifanyiwa mbaya na Delila,Adam alifanyiwa mbaya zaid na Hawa
 
umeshajiuliza kwann upo hapo kwenu mnalala 2 in 1 bed........hivi unajua wewe ni mzigo wa walezi/ wazazi wako bado....umemaliza shule? umepata kazi?...eti kupenda kunaumiza.......kuna wanaokupenda kuliko walezi/ wazazi wako??? unajua unawaumiza kiasi gani kwa uzinzi wapo??? eti kisasi....mwanaume umlipe kisasi.......nakushauri kajiangalie kwenye kioo ukiwa uchi....jinsi ulivyo mzuri....halafu kivulana kinakufanya kuandika haya?? jitafakari utaacha wangapi....kitulive
 
Usiuchafue moyo wako kwa visasi! Tafuta muda jifungie chumbani kwako kisha piga goti na kunyanyua mikono juu kisha ushukuru Alhamdullilah M/Mungu kakuonyesha dhahili mtu uliyekua ukihangaika nae kisha iombee nafsi yako ikubali maumivu yote katika safari yako ya kuachana nae, kamwe usimuombee kisasi au mabaya kwani Mabaya na visasi havitolewi na M/Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mapenzi kuna mawili yatatokea kuumizwa ama kuumiza. Lakini ukijitia unataka kulipiza kisasi ni sawa na mbuzi aliefia kwa muuza supu utachinjwa bila ya kupiga kelele. Juu ya uchepukaji wangu lakini sijawahi kumpatia mwanamke mwengine aongee na mchepuko wangu. Siku ya ukame mchepuko utakuja kunisave tu.


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Kuna mshamba m1 Wa mapenz alinifanyia ujinga huo,namchora tu najua ipo siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa ,ivi siku izi uanamme wenu mmeusahau??.

Yaan umepiga simu, kapokea njemba, usiku nadhan hujalala,ukawa uanataman pakuche, mchana kapiga katuma meseji kukuomba msamaha keshaliwa.... Naww baadae unamwambia tukutane, dem haji. Namwisho

Yaaaan weee hujui kua huo msamaha alikua anakupima kama wewe ndo Unampenda au lah????..kwa taarifa yako mkirudiana jiandae kua boyaaaa, boyaa, utagongewa demu mpaka basiiii .

Leave her kama unajipenda nafsi yako... ..... ... Mimi hapo ndo angekua kanipa tiketi ya kusepa jumla bila hata kuitaj justification yoyote..

Usiubembeleze Upuuzi , ukiubembeleze kuna siku utakuua !!
 
Back
Top Bottom