Kupenda kunaniponza


Nakushukuru sana ndugu yangu japo sidhani kama nikweli uliyoyasema ila ni maombi yangu kwa Mungu azidi kutujalia hekima na busara ili tuendelee kuwa msaada kwa wengine.

Nikutakie siku njema Dahafrazeril
 

Ukweli sijakuelewa, ushauri gani haswa unataka as you said mliamua kila mtu achukue 90 zake. Kama mliamua wote ss whats the issue ?
 
Sabalkheri Miss chagga ?.

Nadhani umeteleza kidogo kwa kutu-generalise.Kusema kuwa "kila mwanaume anacheat its just a matter of time and space" unakosea.

Ungetumia neno "Baadhi", na siyo wote.
 
Usipitr njia anayopita.... Pia usitenge mda wa kumjadili.... Hata hv unavofanya lxm upate kumuwaza... Hvo we funga ukurasa..... Ila km unampenda maamuzi ni yako.... Mapenz ya watu tukiyaingilia bn loooh.....isije ukatuletea uzi tena kuwa.....THANKS GOD WE BACK AGAIN....TUTAKUJA KWAKO
 
sawa nimekupata and thanks mkuu, nitakuwa natumia mkuu zaidi.
 
Pole sister, jipendekeze tu kwake yaishe upone hayo maradhi ya moyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…