Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 760
Mkuu me nilifikiri niko peke yangu
Maybe ulishaumizwa so umekata tamaa na hauna hamu ya kupenda tena.Sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida nakuwaga fair tu ila kuwa attached kivile sijawahi
Maybe ulishaumizwa so umekata tamaa na hauna hamu ya kupenda tena.
Muda wako bado
Utapenda tu
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayoMaybe ulishaumizwa so umekata tamaa na hauna hamu ya kupenda tena.
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
Katika vitu vyote unavyovimilik kipi unahisi upo attached nacho sana? (Hata kama ni mwili wako.)Habari Wanajukwaa
Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbayaaa, Wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano
Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo
NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida
Jimwage mdau wewe sema yote ntakuelewa TU
Mkuu me nilifikiri niko peke yangu
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
Aisha si kwamba ameumizwa hapana hata mm nipo hivyo mapenzi usiyatie akilini vile yanavyoenda unaenda nayo
Mpenzi akikutishia kukutosa unaanza kumtosa yeye
Akikuletea ujinga wewe unaleta mara mbili
Akiletea maneno ya hovyo wewe unazidi mara tano zaidi
Ukiweza hivyo hakuletei ujinga na ikitokea kutengana huumizi kichwa
Eti mtu ajinyonga kwa ajili ya mapenzi khaaa
Hata kulia silii hata huzuni sitakuwa nayo
Ni ujinga yataka usitilie maanani sana mapenzi
Tahadhari chukua hatua
Hapa nilipo bado usikuKushakucha mdau
Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.
Poleee kupenda rahaa kupendwa usisemee jiulize je kupendana.?