Kupenda kudekezwa

Heee kumbe ulishalegeaga! mi nilijua galacha bado anasafa!!!?

Smart911 mylove You know ile mood nipo nayo hapa eeeh
What can I do to these people??
Anyway
Ngoja nifunge domo langu tu
I'm not in the good mood kabisa
 

Hahahaahhahahaahahahahaha at least nimetabasamu teh umenikumbusha juziii asante sana Smart911 wangu
 
Hahahaahhahahaahahahahaha at least nimetabasamu teh umenikumbusha juziii asante sana Smart911 wangu
Woyoooo... That was fun love... You looked sexy and your very fine... Nimependa how you hugged and na ukaninyaulia ka mguu... That was tempting...
 
Nyie mnaodekezwa mnazorotesha maendeleo ya Tanzania ya viwanda
 
Jamaa tabia za kudeka wadada mziache zinakera maana unakuta umetoka kwenye mihangaiko ya kutafuta umechoka halafu mtu mzima mwenzio ( mdada) anaanza kudeka yaani ndio maana wanaume wengine wanaishia kunywa pombe kupunguza stress wakirudi walale tu
 
Dah nyie watu mmenichekesha sana humu khaaaa

Good to mahondaw and Smart911 napenda mnavopendana na mlivyo proud na feelings zenu keep it up mnajua nini maana ya upendo kama hamjafunga ndoa bado naomba msinisahau kadi nije nishuhudie mnavouthibtishia ulimwengu penzi lenu kama tayari annivesary pleaseeeee

All the best guyz.
 

Thank you a lot...


cc: mahondaw
 
Thank you a lot...


cc: mahondaw

Asante sana Blue G
Japo napo kuna changamoto sana humuu watu wana vitimanyongo sana anyway
Mi namwachia mungu tu
Na kumwombea Smart911 wangu mungu ampe moyo wa uvumilivu na kushinda majaribu

Nakupenda sana Smart911 wangu
 
Asante sana Blue G
Japo napo kuna changamoto sana humuu watu wana vitimanyongo sana anyway
Mi namwachia mungu tu
Na kumwombea Smart911 wangu mungu ampe moyo wa uvumilivu na kushinda majaribu

Nakupenda sana Smart911 wangu
Karibu mahondaw usijali kuhusu kile watu wanasema coz maneno popote pale hayakosekani what mattes ni jinsi mnavyopenda na Smart wako tu piganieni kuliboresha penzi zenu maneno ya watu yavalieni pamba na miwani ya mbao period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…