miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 625
mahondaw kakupa nini mkuu maana si kila mahali mpaka jukwaa la siasa uki comment lazima um tag
Sana tu love.. Kwa nini nisikudekeze love.. Wakati una kila sababu ya kudeka...
Mkuu muda mwingine huwa nakuonea huruma nahisi kama mwenzetu ushakuwa bushoke umepewa kibarua kizito sana cha ku carbon copy bibie...haya sio mapenzi bali ni mahaba (joking)Sana tu love.. Kwa nini nisikudekeze love.. Wakati una kila sababu ya kudeka...
Sana tu love.. Kwa nini nisikudekeze love.. Wakati una kila sababu ya kudeka...