george de hero
Senior Member
- Jul 7, 2013
- 122
- 14
jamani wana jf me nilikuwa na kademu kangu ka mitaa ya nyakato mwanza jina***ila baada ya kumaliza ckul pale mhandu tulitengana sikuweza kupata hata namba yake ya cm wala kumuona tena huyu dear mama kiukwel nilimpenda sana si utani naye pia alinipenda sana tuu....sasa hapa juzi kati nimebahatika kupata her 4n number ila kaniambia ameolewa na ana mume wake na hatak mazoea na mimi ila bado nampenda sanaaa jaman nifanye nin ili nimrudishe zizin tena huyu du jaman nampenda kinoma ati....?