Kupenda hakuna muda (love is timeless)

Kupenda hakuna muda (love is timeless)

tinno criss

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
112
Reaction score
56
We Usemaye Mi Ntapenda Muda Fulani haupo sahihi, kupenda huja kutokana na mwelekeo wa maisha yako at anytime, ukipenda kwa mipango Fulani Basi we umependa kwasababu zisizo za kimapenzi, na upendo au mahusiano yako yako hatarini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom