Kupenda Au kupendwa

chagua anaekupenda zaidi...kadri muda unavyozidi kwenda na wewe utampenda...maana through penzi lake na wew uta fall kwake mazima...
 
Dah.. Kimsingi love ni matokeo ya mchanganyiko wa vitu vingi sana vinavyomzunguka MTU hasa akiwa huru.... Cha msingi kuwa na MTU unayeendana naye....mnapofanana katika vitu vingi zaidi ndivyo love inazidi..... Siyo mmoja anapenda kwenda beach mwingine akienda anatapika..wanajimu wanaita nyota (kama unaamini)....cha maana zaidi ni kushibishana pale mnapobaki wawili tu...
 
umeenda mbaliii mkuu,kwa mimi nlimaanisha magumu pale unapopenda wewe hupendwi,anaekupenda haumfeel...wote mkipendana inakua raha.sio kuegemea upande mmoja.ugumu unakuja kumpata mtaopendana wote.i hope uménipata
 
Oa unaempenda lakini hakikisha mwanamke anakupenda zaidi, ukioa mwanamke unaempenda zaidi hahaha utafeli kumcontrol maan utakua emotional zaidi baadae utahisi kama ananguvu kwene penzi zaidi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…