Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,747
hio sababu ikiisha si mapenzi yameisha?May be to you.. Thats why u find it hard to stay in.
hio sababu ikiisha si mapenzi yameisha?May be to you.. Thats why u find it hard to stay in.
Naomba kuona hata paja tu
Labda kidoleNaomba kuona hata paja tu
Khaah, mkuu nimekuelewa! Kupendwa kunapunguza uhuru!Kupendwa ni kero.![]()
Labda kidole
kupenda usikopendwa na kupendwa usikopenda...mpaka mpendane ni bahati sana, Ndomana nkasema mambo magum haya..Ugumu wake nini!??
umeenda mbaliii mkuu,kwa mimi nlimaanisha magumu pale unapopenda wewe hupendwi,anaekupenda haumfeel...wote mkipendana inakua raha.sio kuegemea upande mmoja.ugumu unakuja kumpata mtaopendana wote.i hope uménipataYana ugumu gani??? Shida mna agenda nyuma ya mapenzi vitu kama pesa, umaarufu, tamaa ni agenda kificho zinazovuruga agenda kuu na msingi ambayo ni KUPENDANA hapo ndipo michepuko uanzia, usalit na uzindaki kutokukubali hali fulani na hofu ya jamii itanionaje, ukishinda hofu hakika maisha yatakwenda murua kabisa.
Ukweli huu utasimama milele!"Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage."